Zamaradi Mketema na Ruge Mutahaba waanika mahusiano yao ya kimahaba

kwahiyo boss aruhusiwi kumpenda mtu aliyechini yake??wabongo bhana ......kwahiyo ulitaka ampende nani akupende wewe kisa sio bosi wake, hivyo vitu ni personal angekuwa ameiba mke wa mtu mngesemaje sasa si mngeongea hadi basi??
Ethics at work kuna mahali utakwama. Kama alivyosema hapo juu jogoo_dume kazi lazima zikwame.
Labda kwa kukuuliza mkuu Tony anthony kama wewe ndio boss halafu subordinate wako ndio mpenzi wako amechelewa kazini utamfanyaje?
 
mbona zamaradi mwenyewee wa kawaida sana..anazidiwa hata na mwajuma cheusi wa mtaani kwetuu
 
wacha ale bata huyyooo kila mtu na """""""""""""" alisema mr. nice
 
In his boyhood he did something terrible to a respected family at the "hill" by impregnating a primary school going daughter of his then foster family. Still a terrible person even in adulthood!!!
Duuu kweli safari ni safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…