mchemsho
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 3,230
- 933
Ethics at work kuna mahali utakwama. Kama alivyosema hapo juu jogoo_dume kazi lazima zikwame.kwahiyo boss aruhusiwi kumpenda mtu aliyechini yake??wabongo bhana ......kwahiyo ulitaka ampende nani akupende wewe kisa sio bosi wake, hivyo vitu ni personal angekuwa ameiba mke wa mtu mngesemaje sasa si mngeongea hadi basi??
Labda kwa kukuuliza mkuu Tony anthony kama wewe ndio boss halafu subordinate wako ndio mpenzi wako amechelewa kazini utamfanyaje?