Zamaradi Mketema na Ruge Mutahaba waanika mahusiano yao ya kimahaba

Zamaradi Mketema na Ruge Mutahaba waanika mahusiano yao ya kimahaba

Duh Zama nakuhusia dada angu komaa na uyo Ruge mpaka mwisho maana tofauti na hapo utachina kwa kweli amini Ruge ni jasiri haswaaa kwa uamuzi wa kua na wewe hakika Iraq hakosi kazi.
 
Katika hali iliyoshtua wengi, Mtangazaji wa Clouds Tv , Zamaradi Mketema, ametangaza hadharani juu ya uhusiano wa kimapenzi kati yake na "BOSS" wake Ruge Mutahaba.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zamaradi ameweka picha inayoweka wazi Mahaba ya wawili hao, picha ambayo ilipigwa wako was eneo moja la faragha.

Sambamba na picha hiyo Zamaradi aliandika " Your Mine, I am Yours. And that is Enough. My love " (Wewe ni wangu, Mimi ni wako. Hilo linatosha MPENZI WANGU).

Zamaradi ambae ni Mama wa mtoto mmoja , ameshangaza wengi kwa kuanika mahusiano hayo na "BOSS" wake. Ruge Mutahaba huwa ni mtu msiri sana, hivyo kukubali kuweka wazi mapenzi yake na Zamaradi inaonyesha jinsi gani amezama kwenye penzi la mermaid huyo wa Kitanga.
View attachment 330312 View attachment 330313 View attachment 330312
We hapo kilicho kushangaza ni nini?
 
Eh, Huyu ruge si ana mke...!? Unless wameachana. If not, Then dada yangu huyu anakaribisha drama kwa kutangaza huo uhusiano wao uliokuwa tetesi tu hapo mwanzo..
 
Ni kosa la jinai kujinafasi na subordinate wako (period) na ikiwa hivyo lazima utamke wazi ili mtenganishwe, huo ndio utawala bora. Kilichopo ni aidha bibie amwage manyanga au Ruge auze share aanze upya
Sheria ipi mkuu?
 
Mkuu GENTAMYCINE ulisemaga nini ati, hebu weka udhibitisho wa post yako hapa ili wakuelewe vizuri.

Sina Haja Ya Kupoteza Muda Na Kuitafuta Na Kuiweka Hapa Ila Ningependa Wale Wote ( Wewe Ukiwemo ) Mliokuwa Mkiniponda Na Kunisema Ndiyo Muitafute Halafu Muiweke Hapa Ili Muamini Kuwa Huwa SIBAHATISHI Katika Kila Nikiletacho Humu JF.
 
Nasikiaga kuna mashoga pale..sijui ni kweli kwa maana wavulana wengi wanafunga kifungo cha mwisho cha shati bila tai

Wakiongozwa Na Mmoja Anayejifanya Ni MLOKOLE Na Mwenye Maneno Ya Kiroho Hivi. Sometimes Pia Husoma News Bulletin Na Hupenda Kuweka " O " Katika Kidevu Chake. Kwake Ni Mbezi Beach Mkabala Na Massana Hospital. Huyu Nina UHAKIKA Nae Kwa 100% Kwani Dereva Wake Na Waandishi Wenzake Wamenithibitishia Hilo Lakini Hata Clouds Wenyewe Wanalijua Hilo Na Wakibisha Watakuwa WANATAKA TU KUYEYUSHA. Wapo Wengine Kama 3 Hapo Hapo. Ewe Mwenyezi Mungu Tusaidie Kizazi Hiki Na Madhila Haya.
 
In his boyhood he did something terrible to a respected family at the "hill" by impregnating a primary school going daughter of his then foster family. Still a terrible person even in adulthood!!!

Kumbe it was the dota..I thot the house dada...
 
Back
Top Bottom