Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

Kwa hio TV kwa muda wa 2 years haingizi kitu???
Inawezekana Ndg, sio tu miaka miwili hata miaka mitano. Kwenye biashara kuna kuanza, kukua, kukomaa na kuanguka. Miaka miwili inawezekana wako kwenye kipindi cha kukua ambapo wanatumia fedha nyingi kuliko zinazoingia.

Na approach aliyotumia huyo kijana ya kumtangaza Boss wake hadharani kwa kuweka msg sio ya kiungwana kabisa. Kama amedhulumiwa kuna njia za kupita za kiungwana au za kisheria. Kumtangaza kwenye mitandao kwa waajiri wengine anajizibia
 
Kutokumpa mtu mkataba ni kutaka kumnyima haki zake kisheria ,wengi wanatumia huu mfumo kwa kinga za kisheria maana kama mkataba haupo akienda polisi hautomfunga kwa namna yeyote kama wahindi wanavyonyasa wafanyakazi kwa mtindo huu.

Jamaa sio kwamba hana akili mpaka akaexpose hizo chatting ,kuna mengi na haki ya mtu kudhulumiwa mpaka roho inauma yaani hauna jinsi ukiangalia labda mwanamke (boss wake) ana pesa na kinga za kisheria bora kumuharibia watu wajue madhambi yake.


Ubaya ubaya maboss wengi ni kichefuchefu ,hata sasa tunaoa washkaji wanapiga mishe kwa watu binafsi ikifika mwisho wa mwezi msharaha inakuwa kama wanaomba , sometimes wanapewa pesa pungufu kwa vile hawana mikataba....Usishangae mtu anafanya kazi ila anaomba pesa ni kwamba malipo hapati katk muda husika.
 
Ampe hiyo 200k tuache mboyoyo za kijinga
 
Nakuunga mkono hoja mwamba ulichoongea kina ukweli kwa asilimia Mia kabisa
 
Kuna chawa wa Zama wamevamia uzi qqmk.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mungu kauli zake hazipindishi alishasema ukimdhalilisha mtu nawe utadhalilishwa TU Leo Zama anadhalilika kama alivyomdhalilisha Ruge Kwa mange yule yule Tena yeye pakubwa Sana,zile VN za Ruge alivujisha kumkomoa Leo Kiko wapi!na yeye za mmewe zimevujishwa wakimpiga mtu biti,haitoshi tumejua maisha fake ya mtandaoni wanayoishi Hawa marole modo wa watu humu
 
Kuna chawa wa Zama wamevamia uzi qqmk.
Waje tutaenda nao sambamba tu waache unaafiki
Zamaradi huyu alifanya tuone mabebi zote msingi kende tu Kwa kumuweka Kwa mabango mmewe na Bado haitoshi,kadanganya kannuliwa range na mmewe kumbe bwana kauza nyumba..nyie nyie☺️☺️🙌🙌🙌maisha ya 🙌 mtandaoni mabaya sana...!!!mpk kampuni anamsifu mmewe this mmewe that tukitongozwa tunataka waume kama waroli modo wetu au tunawaona waume zetu kama nguruwee vile...chaaa...kumbe mikopo ya mabenki hukoo,wanauza majumba kufurahisha walimwengu..hii Dunia hii acha kabisaaaa
 
Hadithi njoo uongo njoo tamu kolea

Hadithi njoo uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…