Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

Duuuh Zama anayaweza kwa kweli, khaaah
 
Kheeh mbna shebby wanasema ana mawe, pia pia ni inblood wa PM? sasa had ofisi ndo afunguliwe na zama?

Mbna mabwakuuuu
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kuna watu wako Egocentric sema ndio mabingwa wa kutafuta Public Sympathy.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.
 
Zama ana aibika tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mange kamlipua tenaa.
 
Unatuletea habari za kike hapa, huna kazi za kufanya mwanaume unakuaje mmbea? Kama hukutaka kuzaliwa mwanaume si useme wahuni tukukamie
Sasa wewe mwenyewe unaweza ukawa shoga mkuu.
Kama mtu shoga unaongeaje na unakuja kufanya nini kwenye huu uzi mbona unachangia.
Acha kujifanya msafi wakati mtu ni full shoga.
Mkuu.
 
View attachment 2741843
Hio ni August 8 anamuuliza kama behind the gram imeditiwa .
Inaonyesha still alikuwa anapoga anafanya kazi pale.

Wewe ukifanya kazi kibalau ata cha kung'oa majana ndo usilipwe kisha hakuna mkatapa?????
sasa kama anadai mshahara mahakama ya kazi si ipo...au mahakama ya hakimu mkazi..kwa mange ndio mahakama..kwa mange ni umbea na umbea tumeupata..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…