Zamaradi: Niacheni na mishentown wangu

UONGO MBAYA KILA KITU MNAMSINGIZIA MAKONDA KHEEEE SAKATA LA LISSU MAKONDA ANATAJWA,KUOLEWA KWA ZAMARADI MAKONDA YUPO. MAKONDA KAGEUKA SUPERMAGIC KWA KILA KITOKEACHO MJINI AISEEEE
Yaapp si ndo Rais wa bongo
 
Huyu Mange ndo anazidi kumuharbia Zamaradi kwanza inaonekana Zamaradi ndio aliemrekodi Boss Ruge, sizani kama hii ni sahihi ukifkria kwamba wale ni wazazi, mulio karbu na Mange mwambieni pale anaiharbu familia wala hamdharirishi Ruge.. Alafu mambo ya ndani kurecordiana ndo nn.. Alafu bado mnamuita Zamaradi yupo smart upstairs kweli unamrekodi mzazi mwenzako alafu unarusha mitandaoni, hv watoto wakikua wakiona ile hali baba yao analia hadharani itakuaje...
 
ww unavomtishia maisha mwenzako VPN code yako haijulikan??

au ww na ukoo wako sio kati ya watz mil 45
 
ila ruge kuwatumia vijana wake wa shilawadu kumzalilisha zama ni sawa eeh!!
je watoto watajisikiaje kuona mama yao anasemwa eti alikua desperate na ndoa hadi akaamua kuolewa na shamba boy wa majaliwa!!
 
ila ruge kuwatumia vijana wake wa shilawadu kumzalilisha zama ni sawa eeh!!
je watoto watajisikiaje kuona mama yao anasemwa eti alikua desperate na ndoa hadi akaamua kuolewa na shamba boy wa majaliwa!!
Nyinyi si ndo mmesema zama. Yupo smart upstairs, nazani kama mlimaanisha yupo smart kichwani basi kwa alichofanya huo usmart kichwani hana, maswala ya shilawadu wale ile ni kazi yao, walipokaa kimya na kupotezea hii habari sisi ndo tulipiga kelele kutaka kupata ubuyu...
 
Mambo ya voice note haya. Ni funzo aisee unaweza kummwagia mtu umbea au unaji sexisha kwa baby wako kumbe unarekodiwa bila kujijua. Unaumbuka kweupe.Kipindi hiki karibu cha mwisho Wa mwaka naona skendo nyingi
 
Vp mbona mmeanza kutishana tena?!
 
Msije mkashangaa.mkaambiwa ile ni movie mpya.jasho litawatoka.
 
Albadiri imetowa majibu tofauti Nayalivyotegemewa hehehe na bado hayo manyunyu tu ya mvua tutaona mengi. Kumbe ruge naye analiaga hehehe
 
mwanaume muongo sitamvumilia kamwe? sema tu ukweli kwanini udanganye una maisha ya hali ya juu huku huna kitu?
Amesema mwacheni na Misheni Town wake! Kwa maana nyingine, ni sawa na kusema mwacheni na mwanaume muongo wake!!!
 
Wewe ulikuwa wapi wakati unasikia mazungumzo ya pande zote mbili? Yaani ulikuwa unasikia anachokiongea huyo Bashite na hata alichokuwa anaongea huyo Misheni Town?! Au ni telephone operator uliyekuwa unafuatilia mazungumzo yao ya simu?

Mwacheni Zamaradi na misheni town wake na nyie wengine endeleeni kuhangaika kutafuta wanaume JF wanaoishia kuwagonga na kuwatema!!!
 
UONGO TUUU NDO UMEWAJAAA ,,NDIO MAANA WENGI WENU HAMUOLEWI TUUU.KWA KUSHABIKIA UONGO.


IVI KILA KITU KINACHOTOKEA NIBASHITE TUUU ??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…