Zambia: Hakainde Hichilema atangazwa mshindi wa Urais

Ndiyo uzuri wa DEMOKRASIA ya kweli. UKIVURUNDA unapokuwa madarakani wananchi WANAKUADHIBU wewe na chama chako kwa KUWAONDOA MADARAKANI, siyo hapa kwetu Tume FEKI ya uchaguzi na polisiccm wanatumika KUPORA Uchaguzi miaka nenda miaka rudi.
Endeleeni kujifariji mafisi ipo siku mkono utaanguka!
 
Zambia wajinga tu chama cha4 hichi kinashika nchi ila barabara yao muhimu kwa mapato ya Tunduma na nakonde border aina lami hii nchi ina shida maali vyama vimeshindwa kuwasaidia.
 
Chanzo Cha taarifa yako na Edgar Lungu wa PF ameshakubali matokeo na kumpengeza mshindi.Taarifs yako haionyeshi wapiga kura walikuwa wangapi,hii idadi ya watu uliowataja inaonyesha Kama wapiga kura walikuwa wachache Sana.
haijalishi wapiga kura walikuwa 10 au milioni. ametangazwa mshindi thats it... the rest ni irrelevant kwa sasa
 
wapinzani wa bongo wanajifariji kupitia ushindi huu
Yakwao yanawashinda kazi kupiga domo mitandaoni
 
Mbona unajenga ukuta wa mabua mzee? Kwenye mazingira ya uchaguzi kama Tanzania ambapo masanduku ya kura yanapigwa kabla ya uchaguzi, watotowa shule wanapigishwa kura kabla ya siku ya uchaguzi, how can you rely on those numbers? Pale wasimamizi wa pande zingine wanapopigwa na kkufukuzwa vituoni, how do you validate the numbers?
Pale unapohusika na genge la mumiani ambao wanauroho wa madaraka kama ccm kiasi kwamba wako tayari watu wote wafe, ili mradi wasiondoke madarakani, unategemea kupata namba gani zenye uhalisia?
Pale ambapo mpinzani anatanganzwa kwa gharama kubwa sana baada ya kushinda hata katika majimbo, unawezaje kuwafanya watu wote wajinga uwaambie namba nao waseme kwlei namba hizi ni halali?

LABDA MWENDE MKAWAAMBIE HIZI HADITHI WALE MISUKULE ILIYOKO MADARINI, KWA KUWA HATA WEWE MSUKULE WA LUMUMBA, UKWELI HUU UNAUJUA.
 
Ni bora kuheshimu MATAKWA ya umma kuliko nchi kukaliwa kichwani na kikundi cha KIDIKTETA cha watu wachache miaka yote
 
Zambia sio Tanzania, chadema msijifariji kupitia nchi ya Zambia,ninyi mtaendelea kuwa ndugu watazamaji Hadi miaka 1000 ijayo.
Ni kweli unachokisema kwa sababu Tanzania ccm ndio inaandaa, kusimamia na kujitangazia hayo wanayoita matokeo.

Yaani Simba anacheza na Yanga na waamuzi ni Haji Manara, Zakaria Hans Pope na Ezekiel Kimwaga, ebu niambie unategemea nini hapo kama kweli una akili kidogo hata za kukusaidia kujitawaza tu.
 
tunazungumzia ya zambia kwanza tuache kidogo..
 
One Zambia, One Nation! Congratulations Chililabombwe squad!
 
Edgar Lungu kilichomkuta haki yake

Alifungia sana uhuru wa kuabudu na alifunga makanisa kibao akiyaita ya uchochoroni hayataki Zambia. Wakamwambia hutashinda sababu umeingilia uhuru wa kuabudu akasema kwendeni huko nyie vikanisa vidogo mna nini hata vikura vyenu sivihitaji hata mkinipa havitoshi kunipa ushindi!!! na yamemkuta. Mdharau mwiba mguu umemuota tende
 
Kwa hiyo wewe una imani na Tume yetu ya uchaguzi kwa 100%! Tume ambayo Mwenyekiti wake, Mkurugenzi wake, na Maafisa wake wote huteuliwa na Rais! Ambaye pia ni Mwenyekiti wa ccm na pia Mgombea wa Urais kupitia ccm!

Ok.
 
Tz hatujawahi kushuudia chama mbadala kikitawala!!??
tupo nyuma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…