Zambia: Hakainde Hichilema atangazwa mshindi wa Urais

Zambia: Hakainde Hichilema atangazwa mshindi wa Urais

Wanangu wana jamvi. Sasa rasmi. Zambia kimeumana na Edgar Lungu amebwagwa vibaya. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.
View attachment 1894061
LUSAKA, Aug 15 (Reuters) - Opposition leader Hakainde Hichilema has defeated incumbent Edgar Lungu in Zambia's presidential election, the electoral commission said on Monday when releasing the final results from 156 constituencies, barring one.

In the final tally, Hichilema secured 2,810,777 votes while Lungu was in second place with 1,814,201 votes, out of 7 million registered voters.

"I therefore declare that the said Hichilema to be president of Zambia," said electoral commission chairman, Esau Chulu, to a packed results centre in the capital Lusaka.

The massive win meant Hichilema does not have to contest any second round run-offs after meeting the constitutional 50.1% threshold for an outright winner.
 
Siyo mara ya kwanza mgombea wa upinzani kushinda. Hata hapa imetokea mara kadhaa wagombea wa ubunge na udiwani kutoka upinzani wakatangazwa kushinda. Tatizo kwetu ni kuwa wapinzani wanaposhindwa kiti cha urais basi wanalalamikia tume hata kama namba haziwasapoti kabisa
Hapana, Tanzania wapinzani wameshinda mara nyingi ila Tume haiwatangazi.Tume haiko huru
 
Zambia sio Tanzania, chadema msijifariji kupitia nchi ya Zambia,ninyi mtaendelea kuwa ndugu watazamaji Hadi miaka 1000 ijayo.
Na kweli Zambia sio Tz!!Na ndio maana suala la katiba mpya hamtaki kabisa kulisikia!!lakini sababu zilizomuangusha Rungu, ndio hizo hizo ambazo WADANGANYIKA, wanapambana nazo, tofauti ni kujitambua tu!!
 
Mpaka tutakapofanya mabadiliko ya mfumo uliopo ndio Tanzania tutarajie mabadiliko kama ya Zambia, wakati kwa wenzetu Rais anawekwa madarakani kwa kura za wengi, hapa kwetu anawekwa madarakani kwa kura za wachache.
 
Chanzo cha taarifa yako na Edgar Lungu wa PF ameshakubali matokeo na kumpengeza mshindi. Taarifa yako haioneshi wapiga kura walikuwa wangapi, hii idadi ya watu uliowataja inaonyesha Kama wapiga kura walikuwa wachache Sana.
Hizo tafuta mwenyewe, lengo ilikua ni kukujulisha kwamba ccm tawi la Zambia imeanguka!
 
Ni jambo jema! Ila kushinda upinzani haina maana na matatizo ya Nchi yataondoka! Leo hii wamalawi wanatamani Mutharika arudi madarakani, mpinzani aliyechukua nchi anazingua mbaya mnoo...
Usemayo kiasi fulani ni sawa!!lakini sio sahihi kwa kikundi fulani cha watu kujiona wao ndio wamezaliwa kutawala tu, na sio wengine!!!inatakiwa kuruhusu tu demokrasia ndio iwe inaamua, mwisho wa siku atapatikana tu kiongozi bora!!sasa wewe miaka karibu 60, umeshindwa kuleta maisha bora kwa wananchi wako, lakini hutaki kuwaachia wananchi waweze kuamua vingine!!
 
Pongezi kwao Zambia.

Hawa ni majirani, huenda nasi siku moja tukajifunza kutoka kwao kuheshimu matakwa ya wananchi.
Mwaka 1991 Chiluba alishinda Urais wa Zambia akiwa mpinzani.Akimuondoa Kaunda.Lakin mpaka Leo mbona uchumi wao mbovu tu.Naipenda China ,hakuna tamaa ya vyama vingi kushika madaraka.Kazi tu ndio italeta maisha bora.
 
Siyo mara ya kwanza mgombea wa upinzani kushinda. Hata hapa imetokea mara kadhaa wagombea wa ubunge na udiwani kutoka upinzani wakatangazwa kushinda. Tatizo kwetu ni kuwa wapinzani wanaposhindwa kiti cha urais basi wanalalamikia tume hata kama namba haziwasapoti kabisa
Kasome kile kitabu cha Mkapa utapata majibu ya hoja yako, Maalim kashinda wala siyo mara moja.
 
Usiku wa leo mda wa saa 0200, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa nchi hiyo amtangaza Mpinzani wa Chama cha UNDP kuwa Rais wa nchi baada ya kushinda Kwa kura 2.8m akimuacha Rais Edga Lungu wa PF kwa kura kama 1M. VivA Zambia!


======

View attachment 1893970
Hichilema is popularly referred to by his initials 'HH' or Bally (slang for dad)

Zambian opposition candidate Hakainde Hichilema won Zambia's presidential election, defeating incumbent Edwar Lungu, the southern African nation's election commissionannounced early on Monday.

Hichilema secured more than 2.8 million votes, while Lungu was in second place with over 1.8 million votes in the vote held last Thursday. Hichilema, 59, had been leading in exit polls and preliminary election results released throughout the weekend.

Now, Hichilema faces the daunting task of turning around the economic fortunes of debt-laden Zambia.

Zambia, a copper-rich nation, defaulted on a $42.5 million sovereign debt payment in November.

Zambian voters look for change

Rising costs of living and the impact of the pandemic had led to frustration with Lungu's rule. He had been in office since 2015.

Voters were also concerned about rising costs of living and crackdowns on dissent. Young Zambian's often complain of a lack of opportunity.

World Bank sounds alarm over developing world's debt

A former business tycoon who entered politics, Hichilema, ran for the presidency for the sixth time this year. The 2021 election was his first victory, after he campaign was able to take advantage of dissatisfaction over Lungu's handling of the economy.

During one of his final campaign speeches, Hichilema said, "It hurts to see citizens go to bed without food in such a country," adding that Zambia's rich natural resources have not translated to well-being for the population.

"Assets worth billions of dollars are yielding nothing... to better our lives," he said.

Lungu says election was 'unfair'

Hichilema has challenged Lungu three times previously for the presidency.

Lungu had cried foul before a winner was declared, claiming the elections were neither free nor fair due to alleged acts of violence at polling stations. He would have to approach Zambia's Constitutional Court within a week to formally lodge a complaint.

Hichilema's victory comes with the backing of ten opposition parties under the banner of United Party for National Development (UPND), the largest opposition party.

Source: DW
Ni UPND siyo UNDP!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Ni jambo jema! Ila kushinda upinzani haina maana na matatizo ya Nchi yataondoka! Leo hii wamalawi wanatamani Mutharika arudi madarakani, mpinzani aliyechukua nchi anazingua mbaya mnoo!

Ana kashfa sasa hivi nchini kwake ya kubeba family members (ambao walichukua nafasi za maofisa wa serikali waliotakiwa kuhudhuria vikao) kwenda kwenye mkutano wa wa kiofisi London, kikubwa kilichowapeleka ni kutalii! Mimi nafikiri dhamira ya mtu ni jambo muhimu kuliko upinzani/utawala! Leo hii US na demokrasia yake yote, lakini signature moja tu ya Biden imetosha kuwarudisha Taliban Afghanistan
Africa raisi akiwa ziarani na mkewe huwa wanaandika raisi kaenda na mke wake, ila Ulaya na America utasikia raisi yupo na first lady
 
Sawa sawa. Naye aanze retaliation sasa kama kawaida ya mtu mweusi! The best he can do ni kusamehe yaliyopita na kuanza enzi Mpya isiyo na visasi. Otherwise, the cycle shall continue over and over again endlessly. Huyu jamaa aliumizwa sana; pamoja na hayo asamehe kwa ustawi wa Zambia ya leo na kesho.
Namjua vizuri HH, ni mcha Mungu sana na muungwana, hawezi kulipiza kisasi chochote! Anaanza moja kwa moja kurekebisha uchumi, kushughulikia deni kubwa la taifa, ajira kwa vijana na kukabiliana na changamoto za machimbo ya shaba. Hongera HH, hongera Wazambia!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom