Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
MAGUFULI : MIMI NDIO RAIS , ATAKAYELETA FYOKOFYOKO KUKIONAOk, hapo bado hajala kiapo na kuchukua madarakani rasmi!
Tusubiri miaka kama miwili au mitatu ijayo halafu tuone kama uhalisia utaendana na hayo maneno.
I’m not that naive…
Ni mapema sana! Tumpe mudaRAIS MTEULE WA ZAMBIA
- Nataka tuonyeshe tofauti kati Yetu na wao
- Nilikamatwa mara 15 na kuwekwa ndani.
- nilipigwa mabomu
- Habari za mikutano Yangu hazikutangazwa na TV YA TAIFA
Ili kuonyesha kuwa sisi ni Tofauti na wao
- Nawasamehe wote
-Rais Mstaafu uwe na Amani
- hakuna Bomu la machozi litakupata
- Endesha mambo Yako kwa mujibu wa Sheria na hakuna atakayekugusa
- TV ya Taifa onyesheni mambo Ya wapinzani pia. Msipoyaonyesha watazamaji watapungua. Watazamaji wakipungua hamtapata Matangazo. Mkikosa matangazo Mtakufa na mtafunga
- wafuasi wangu msilipize Kisasi.
- kama kuna mtu alikutendea vibaya usilipe kisasi.
- ukienda ukavamia super makert na kuiba unakua unaharibu KAZI maana kuna watu watakosa kazi na sisi tumeahidi kuongeza ajira
- wafuasi wangu mkiharibu mali za wapinzani wetu mnaharibu UCHUMI wa Taifa. Mali zao ni mali za Taifa pia. Ukiziharibu unaharibu uchumi
- wafuasi wangu pelekeni Amani kwa waliowanyanyasa hapo nyuma. Waambieni huu ni wakati wa kuunganisha nchi
- Amani ikiwepo Biashara mpya zitaanzishwa. Wawekezaji Watakuja
- Taifa lilogawanyika halitashinda VITA ya uchumi
- Nataka zambia iwe ya Wazambia WOTE bila kujali umezaliwa wapi na umezaliwa na nani mradi wewe ni Mzambia
Katiba ndio imempa madaraka makubwa rais aliyopo madarakani kuteua time ya uchaguzi, msajili wa vyama, mkuu wa polisi, mkurugenzi wa Tiss, na wengine wote. Hivyo Basi kwenye mazingira hayo kamwe hawawezi kutenda haki. Ni lazima watampendelea aliyewapa ugaliSasa Katiba unaihusisha kwa vipi?
Talban hawana hash tag wala katiba mpya wapo ikulu twendeni sasa!Mafisi yameshikilia madaraka, hayataki kuporwa. Hata hii katiba tuliyonayo pia huwa wanaivunja.
Unashona nguo kutokana na umbile lako si kwasababu Juma pia ameshona.Talban hawana hash tag wala katiba mpya wapo ikulu twendeni sasa!
Hahahha acha dharau mkuuNaskia Zambia ukifika unaezadhani upo China?
Hahahha acha dharau mkuu
Lusaka pabovu Sana asee yaani pakawaida sanaaa
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hoja yako ina mantiki. Je, unapendekeza hao wateule na nani? Kwa vyovyote vile atakayekuwa na mamlaka ya uteuzi ni binadamu. Kama binadamu ana hisia, matakwa na tabia binafsiKatiba ndio imempa madaraka makubwa rais aliyopo madarakani kuteua time ya uchaguzi, msajili wa vyama, mkuu wa polisi, mkurugenzi wa Tiss, na wengine wote. Hivyo Basi kwenye mazingira hayo kamwe hawawezi kutenda haki. Ni lazima watampendelea aliyewapa ugali
Kuna mamlaka zikiwezeshwa, zitafanya kazi vizuri. Rais akiwa mgombea, awe sawa na wagombea wengine. Magufuli akiwa mgombea uraisi alikuwa na kauli za ajabu Sana, mfano, nireteeni Gwajima, like lilikuwa ni agizo kwa tume ya uchaguziHoja yako ina mantiki. Je, unapendekeza hao wateule na nani? Kwa vyovyote vile atakayekuwa na mamlaka ya uteuzi ni binadamu. Kama binadamu ana hisia, matakwa na tabia binafsi
We mzee kweli unazeeka vibaya nmekwambia ni 40% ukitoa mapingamizi bila mapingamizi ni hyo 34%Leta namba kamili kuhusu nchi nzima siyo cherry picking vipande vinavokufurahisha na kuacha sehemu kubwa isyokufurahisha. Kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2014,