Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

unarudi kule kule kwa magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwenye ubavu wa kugomea huduma mkuu. Amini hilo.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
unaweza kutofautisha maambukizi ya Taiwan na china ?hawa ni majirani
 
unaweza kutofautisha maambukizi ya Taiwan na china ?hawa ni majirani
Sasa kama Taiwan na China hawafanani kwa maambukizi japo ni majirani, kwanini unataka Tanzania ifanane kwa maambukizi na majirani zake?
 
Lungu kaamua kuondoa katazo la watu kukutana kwenye nyumba za ibada baada ya kuwekwa lockdown mwezi mzima. Viongozi wa dini wamepinga. Wanatala Lockdown iendelee. Wa Tz mnafeli sana. Mtu mmoja akisema wote mnafata kama kondoo. Baadae raisi akaamua ajirudi.View attachment 1430966

Sent From Galaxy S9
 
Ni heri kuweka wazi hali ya maambukizi ili watu wajue ukubwa wa tatizo na kuchukua tahadhari. Huwezi kujificha corona, itakufata popote ulipo. Mombasa Billionaire Who Escaped Quarantine Dies From Covid-19 in Tanzania

Rais mmoja wa huko nchi za nje aliamuru kila anaepata corona ale shaba, lakini Mungu ni mwema,hali aliyonayo hiyo Rais kwa sasa, anaijua yeye na mwili wake.

Malipo ni hapahapa duniani, ukishangilia mwenzio kufa unaanza wewe.




 
Bora nitukanwe!!
Raha sana!!

IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!
 

..biashara ya usafirishaji / transit cargo ni kubwa na tegemeo kwa uchumi wetu.

..tulitakiwa tujiandae mapema kwa kuwa na test kits za kutosha na maabara za kuwapima wafanyakazi wa sekta hii, kama madereva etc.

..kama wanazungumzia madereva kuwekwa karantini maana yake ni moja tu, kuwa wahusika hawako serious ktk kazi zao.
 
Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania wa Nakonde kuanzia kesho Jumatatu, kwa mujibu wa taarifa hii chini hapa.

Nahisi muda si mrefu hatua hii ya kufunga mipaka itaanza kuwa maarufu, na kuchukuliwa na nchi nyingi zaidi!
Nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona.

Cc: Sammy awamy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam. Kiburi cha kujifanya kuwa una bandari. Wenzio wamejibana wee kwa ajili ya afya za watu wao, wewe unaweka pesa mbele na kufanya juhudi za majirani zako kuwa machozi ya samaki. Sasa atakoma. Wakiondoka, kuwarejesha tena hata baada ya ugonjwa itakuwa siyo rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…