Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Hakuna mwenye ubavu wa kugomea huduma mkuu. Amini hilo.Tutaathirika kwa namna moja au nyingine, moja ya sababu ya nchi yetu kugoma kufunga mipaka yake katika kipindi hiki ni kukwepa athari ya kiuchumi. Sasa wale tunaoona ni wateja wetu nje ya mipaka ya nchi yetu wameanza kugomea huduma zetu! Mteja akisusa, utamhudumia nani? Diplomasia zaidi inahitajika juu ya suala hili la Covid-19.
Sent from my SM-A720F using Tapatalk