Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Hebu tupe mchanganuo wa mapato ya bandari kwanza revenue na exp halafu ndio tutajuwa mkataba wa kisenge au?
Mkataba haujasema chochote kuhusu mgawanyo wa faida zaidi ya kumhakikishia mwekezaji msamaha wa kodi
 
Hivi ni nani anayekataa uwekezaji? Kinachokataliwa ni vipengele vya mkataba vinavyoiuza nchi kwa kipindi kisicho na ukomo, ni hayo tu.

Pia hao wanajiandaa kutafuta njia mbadala baada ya kuona bandari inaingia mikononi mwa wakoloni wapya, kwani miaka yote hawakuiona hiyo Lobito? Ukosefu wa ufanisi umeanza leo?
 
Imeuzwaje?
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Ppengo na kundi lake ni ttizo
 
Lord denning kwann unajitoa akili kisa posho? Ni mtanzania yupi hataki uwekezaji? Kwann mnapotosha kua watanzania hawataki uwekezaji wa DP world? Hoja za watanzania zipo waz kbs kuhusu some articles kweny mkataba zirekebishwe au ziondolewe!! Acha uzushi kisa posho.
 
These guys are confused! Yaani bandari iliyopo Atlantic Ocean ndio shortest route kwa mizigo yao itokayo Asia na china ? [emoji85]
 
Upo sahihi, unateuaji CEO kwa kujuana kwenye suala nyeti kama la bandari badala ya uwezo binafsi wa mtu?
 
You kee
 
Watafute tuuu, huwez kuuza bandari kisa Una mamlaka, hiyo haipo, alaf bandari ni Kwa ajili ya Watanzania Kwanza then hao jamaa wengine badae..!!

Mmelogwa na nani nyie?
 
Mkuu kwani Angola nao wamekodisha bandari yao kwa mwekezaji kwa muda usiojulikana?
Hata Tz tunapenda sana wawekezaji. Shida yetu ni kwamba vifungu vya mkataba na DP world ndo haviko sawa kimaslai ya Taifa letu .Tukikubali tumeigawa bure bandari, mwekezaji akae kwa muda usiojulikana.

Alafu, Tz iwepo au isiwepo, mkataba wa DP World hauvunjiki. Kwani ni KISIKI???
 
Hata kama mapato yakiongezeka kama uhuru na mali zenu me kabishi mwarabu kunafaida gani
 
Mnakera mnakua kama matoto ya lakwanza acheni ujinga kichwani mwenu..kila siku bandari imeuzwa imeuzwa!!Yaani nitaman aje rais kama magu ili wapuuzi kama nyie muadabishwe haya mambo ya demokrasia yanarudisha maendeleo nyuma na maza anatakiwa kua mkali ndio mtapata akili
 
Nilidhani wanahamisha Bahari kupeleka kwao. Kwanini wasiende SA au Beira?
 
Umelipwa sh ngapi kuja kutetea kuuzwa kwa raslimali zetu?,msaliti mkubwa wewe,nyie China mnapigwa risasi hadharani

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Watafute tuuu, huwez kuuza bandari kisa Una mamlaka, hiyo haipo, alaf bandari ni Kwa ajili ya Watanzania Kwanza then hao jamaa wengine badae..!!
Hapo kwenye sentensi yako uliposema kuwa "bandari ni kwa ajili ya watanzania kwanza" ndipo panapo hakikisha kuwa wengi wa watanzania hata hawajui kinachoendelea bandarini lakini mumerukia tu majadiliano kwa kuwa tu fulani kasema hivi na fulani kasema hivi!
 
Mkataba haujasema chochote kuhusu mgawanyo wa faida zaidi ya kumhakikishia mwekezaji msamaha wa kodi
Nadhani hujailewa swali langu lakini wacha niruke nikupe kidogo, mkataba wa kibishara hata siku moja hauwezi kuwekwa hadharani swali langu lililenga kwa hali ya sasa hivi bandarini kiasi gani tunakusanya na kiasi gani tunatumia. Serikali imesema kijumla tu mapato yataongezeka kutoka Trillion 7 kuja kufikia 26 Trillion huko mbele ndio nikauliza unajuwa bandari imekuwa inakusanya trillion 7 kwa muda mrefu hakuna ongezeko hapo sijatoa matumizi ya bandari. Bandari ya Tz pamoja na kuwa location best lakini ina rank 312 duniani kati ya bandari 346 kwa ufanisi ndio utajuwa tuna safari ndefu sana tena sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…