Wasio na Bandari wanategemea nini? Kuna Land locked countries kibao zinaendesha uchumi vizuri ije kuwa Sisi tuna chetu? Yaani tuuze utu wetu Kwa kisingizio cha uwekezaji? Tangu lini Mtu akakodisha bandari akapewa na anga?Imeuzwaje?
Upotoshaji katika nyakati hizi za smartphone ni kazi rahisi sana. Mkataba wa IGA umeandikwa huko Dubai kwa mwaka mzima, yaani miezi kumi na mbili ya majadiliano ya kina. Hakuna anayeweza kukosa uzalendo na kuuza nchi kijinga hivyo.Umesoma mkataba na kuuelewa? Umesikiliza hoja za wansheria waliofungua kesi Mahakama kuu kanda ya Mbeya? Umezielewa hoja zao?
Bullshit mkuu bila bila, hakuna kitu kama hicho.Wasio na Bandari wanategemea nini? Kuna Land locked countries kibao zinaendesha uchumi vizuri ije kuwa Sisi tuna chetu? Yaani tuuze utu wetu Kwa kisingizio cha uwekezaji? Tangu lini Mtu akakodisha bandari akapewa na anga?
Huku kwetu tunasikiliza wapotoshaji na kuwaamini bila ya kujua kuwa tayari wameshalipwa na maadui tunaoshinda nao kibiashara. Habari za kutungwa zinasambaa upesi kuliko ukweli wa mambo.Shida sio dp world , shida ni mkataba gani tumeingia na dp world. First class countries kutokana na uwazi na sera zao wana uwezo wa kufanya lobbying hata na mashetani na bado wakapata reasonable deals. Huku kwetu dp akishahonga group la watu anaweza kuandika chochote kwenye mkataba , rejea mikataba ya symbion power projects.
Hakuna kifungu kisichosawa katika huu mkataba. Zaidi ya upotoshaji ambao baadhi yetu tumeamua kwa makusudi kabisa kuwa wapinzani wa mipango yetu wenyewe, so sad.Mkuu kwani Angola nao wamekodisha bandari yao kwa mwekezaji kwa muda usiojulikana?
Hata Tz tunapenda sana wawekezaji. Shida yetu ni kwamba vifungu vya mkataba na DP world ndo haviko sawa kimaslai ya Taifa letu .Tukikubali tumeigawa bure bandari, mwekezaji akae kwa muda usiojulikana.
Alafu, Tz iwepo au isiwepo, mkataba wa DP World hauvunjiki. Kwani ni KISIKI???
Tanzania unailinganisha na uingereza? Huu mkumbo utaliangamiza taifa. Ndio walewale mnaosema hata marekani umeme unakatika.Southampton walipowapa DP World inamaanisha hakuna mwingereza anayejua kuendesha?
Kuwa na akili ya namna hiyo tu unamaanisha umejaza ujinga kichwani
Tuna shida mahala sisi waafrica pamoja na viongozi wetu .These guys are confused! Yaani bandari iliyopo Atlantic Ocean ndio shortest route kwa mizigo yao itokayo Asia na china ? [emoji85]
Mkataba upi hauna ukomo?Kwa hiyo tuwape mkataba usio na kikomo kisa Congo na Zambia wapitishie mizigo kwetu?
Shwain.
Geographic location ya bandari ya dar ni hot cake kwa karibu nchi 5 zinazotuzunguka . Dar pia ni cheapest destination of them all ports. Uganda peke yake ndiye at least anaweza kuamua kutumia mombasa port badala ya dar . Lakini si burundi ,rwanda, congo au zambia .Ninachoamini wafanya biashara ndio wataamua watumie bandari ipi kutokana na mizigo inapokwenda
Bandari ya Dar ipo kwenye strategic position na hyo SGR ikikamilika ndio kabisaa itakua unbeatable
Angola picha la kwanza watakutana na lugha ya kireno !! Ndio kilichomkimbiza mzambia na mkongo bandari ya beira msumbijibandari ya Dar , haikimbiliki kirahisi hivo , inakila urahisi wa kifikika na nchi za ukanda wa kusini , Angola kwanza ni distance ya kutosha . watarudi tu hao ,
Mjinga haburuzwi, anapigana kama Kinjeketile wa majimajiUnatakiwa uburuzwe kwa nguvu.
Hacha kuuliza swali la kijinga umeona huo mkataba na kuusoma na unasemaje,ukilinganisha huo mkataba unaona unafanana kabsa na kutumika kwenye nchi iliyopata uhuru?Imeuzwaje?
Wewe sema hivyo vifungu unavyodai vina shida?Hacha kuuliza swali la kijinga umeona huo mkataba na kuusoma na unasemaje,ukilinganisha huo mkataba unaona unafanana kabsa na kutumika kwenye nchi iliyopata uhuru?
ImeuzwajeWatafute tuuu, huwez kuuza bandari kisa Una mamlaka, hiyo haipo, alaf bandari ni Kwa ajili ya Watanzania Kwanza then hao jamaa wengine badae..!!
Kama ambavyo na wewe unaweza kuwa mjinga kwake maana umeamini kuwa ufanisi wa bandari unaletwa na DPW tu..kwani duniani kote bandari zipo chini ya DPW tu!? Tukiogelea wala haipotei na tutakapopata exposure tutaacha kuogelea tutawekeza wenyewe.Kwa maneno hayo. Nikisema wewe ni mjinga kuna watu watanibishia
Afadhali mkuu, The Big Nyang'au, hebu njoo tusaidie , tunauzwa huku!Mimi Mkenya hapa, hili suala la bandari yenu nafuatilia kimya kimya ila nakosa kupata kuelewa nini haswa, maana kila mmoja ana hoja zake, au kasoma mkataba na kuelewa kivyake, mara bandari inauzwa, mara inakodishwa, mara ni ubia, mbona msiwe na lugha moja ambayo hata mama nitilie mtaani ataielewa?
Mnatupiana maneno hadi basi, utadhani ubishi wa Simba/Yanga wakati ni raslimali muhimu sana ya taifa......
Mtu yupo Kinshasha atumie bandari ya Dar es salaam iliyopo bandari ya Hindi badala ya kutumia bandari ya Atlantic iliyo karibu zaidi atakuwa ana mtindio wa ubongo. Labda watu wa mashariki ya Congo ndiyo sahihi kutumia ya Dsm.Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.
Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!
Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928