Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Inawezekana bandari na barabara zetu mbovu na spid 50km/h zina wagharamisha sana.ukiwa Rais ni lazima uwe na dhamira ya kukuza uchumi wa nchi.
 
Unaongea kishabiki, DRC watakuwa wajinga wa kutupwa kama wataitegemea bandari ya Dar kwa asilimia 100. DRC Mashariki ndio wako karibu zaidi na Dar port kuliko Lubumbashi, umbali wa Dar na Lubumbashi ni mrefu kuliko umbali wa Dar Kigoma. Kuweka mayai yote kwenye kwenye kapu moja ni hatari.

Kwa nini usifikiri kuwa DPW huenda ndiyo sababu ya DRC kufikiria kuwa na altenative route ya kupitia Angola? Uko biased mkuu.

Vv
 
Muulize maswali yenye logic

Unajua ni hathari kiasi gani inaweza kutokea pindi tu wakiacha kutumia bandari ya tz?
Hawana ubavu wa kuacha. Hailipi kutoa mzigo China ukaushusha Angola badala ya Dar ikiwa huo mzigo waenda Zambia.
 
Bado shippers (wenye mzigo) ndo huchagua route, bandari ikiwa efficient (uharaka wa kupakua/kupakia na kuondosha mizigo), na miundombinu hakika na salama ya usafirishaji shehena(reli na barabara), bado itavutia wasafirishaji wengi tu; so bandari shindani i.e. Lobito, Mombasa, Beira Walvis Bay & Durban waendelee na mipango yao tu na sisi tunaendelea nayo
 
You know how to read young man, Go and read that contract. Vijana wa siku hizi hamtaki kabisa kuchosha akili zenu. Stupid
You can't prove your allegations and you are asking me to go read the contract? So why you alleged something you can't prove?

Who is stupid here?
 
Ulikuwa hata unajua kuna uwekezaji Bandarini kipindi cha Mkapa wewe ?
 
Mkataba wa uwekezaji na ukodishaji ni wa miaka mingapi mkuu? Tutalipwa kiasi gani kwa mwaka?

Vv
 
You can't prove your allegations and you are asking me to go read the contract? So why you alleged something you can't prove?

Who is stupid here?
Teenagers mna shida sana, mnaleta utoto hadi kwenye vitu vya maana na english zenu za kuombea maji. Nenda kamalizie homework huko.
 
Hakuna mtu anayekataa uwekezaji. Na nchi yetu haina ubaguzi wa aina yoyote.
Tuwape kwanza basi Bandari moja tu ya Daresalam. Hata kwa miaka 50 ili kuwapima utendaji wao.
 
Teenagers mna shida sana, mnaleta utoto hadi kwenye vitu vya maana na english zenu za kuombea maji. Nenda kamalizie homework huko.
Nafikiri wewe ni mgeni humu.

Kama wewe ni mtoto usifikiri wote humu ni watoto
 
Hakuna mtu anayekataa uwekezaji. Na nchi yetu haina ubaguzi wa aina yoyote.
Tuwape kwanza basi Bandari moja tu ya Daresalam. Hata kwa miaka 50 ili kuwapima utendaji wao.
Kwanza wamepewa bandari ngapi? Kwa mujibu wa kifungu gani?
 
Hakuna anaekata uwezekezaji ila si kwa maktaba wa kishenzi kama huo
 
Kwanza huna adabu unawaita watanzania wajinga wakitetea rasilimali nyeti kama bandari,bandari ipo kutunufaisha sisi hao wengine ni ziada tu.
Faida inapatikanaje bila kuitumia kupitisha mizigo ya mataifa yasiyo na bandari.
 
Unamhemko na unahasira sana ee Bandari hapana

Mbona huzungumzi mkopo Serikli waliokopa kuboresha bandari
You just kidding
Unapuyanga tuu Huna issue yoyote hili la bandari limefika patamu

Big boo hao DP World kama ni wema wapewe bandari ya Tanga au Mtwara waindeleze ambayo haina miundombinu

Ya Dsm hapana .JPM alishawekeza vya kutosha
 
Tupate viongozi wenye akili waweze kuendeshaa na itaka sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…