Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea kishabiki, DRC watakuwa wajinga wa kutupwa kama wataitegemea bandari ya Dar kwa asilimia 100. DRC Mashariki ndio wako karibu zaidi na Dar port kuliko Lubumbashi, umbali wa Dar na Lubumbashi ni mrefu kuliko umbali wa Dar Kigoma. Kuweka mayai yote kwenye kwenye kapu moja ni hatari.Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.
Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!
Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Hawana ubavu wa kuacha. Hailipi kutoa mzigo China ukaushusha Angola badala ya Dar ikiwa huo mzigo waenda Zambia.Muulize maswali yenye logic
Unajua ni hathari kiasi gani inaweza kutokea pindi tu wakiacha kutumia bandari ya tz?
Bado shippers (wenye mzigo) ndo huchagua route, bandari ikiwa efficient (uharaka wa kupakua/kupakia na kuondosha mizigo), na miundombinu hakika na salama ya usafirishaji shehena(reli na barabara), bado itavutia wasafirishaji wengi tu; so bandari shindani i.e. Lobito, Mombasa, Beira Walvis Bay & Durban waendelee na mipango yao tu na sisi tunaendelea nayoWakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.
Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!
Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
You can't prove your allegations and you are asking me to go read the contract? So why you alleged something you can't prove?You know how to read young man, Go and read that contract. Vijana wa siku hizi hamtaki kabisa kuchosha akili zenu. Stupid
Ulikuwa hata unajua kuna uwekezaji Bandarini kipindi cha Mkapa wewe ?Mjinga na wajinga ni ukoo wenu
Kama ni uwekezaji mbona watanganyika waliukubali kipindi yote ya mkapa. Ine wakatae leo [emoji848]tena wameondoa tofauti zao ma kuungana
Wewe uliemjinga mwenye akili uoni kama kuna tatizo?
Kama umetumwa rudi tena Waambie wamegoma kuuzwa utu wao
Mkataba wa uwekezaji na ukodishaji ni wa miaka mingapi mkuu? Tutalipwa kiasi gani kwa mwaka?Uwekezaji mkubwa watakaouleta hao DP World sio wa hela pekee Bali wa efficient, network ya soko na kuondoa urasimu na Bandari kuwa shamba la bibi Kwa maslahi ya wachache..
Wale msiojua nawataadifu tuu kwamba Zambia na Congo wakipungiza nusu tuu ya Cargo Yao Dar Port ujue hiyo Bandari inageuka kuwa temba mweupe..
Endelea kuishi kwa kukaririHawana ubavu wa kuacha. Hailipi kutoa mzigo China ukaushusha Angola badala ya Dar ikiwa huo mzigo waenda Zambia.
Viongozi wazarendo ndo kina nani hao?Acha ikae tu mpaka tutakapo pata Viongozi wazarendo wa kuweza kusimamia Bandari na maliasili zetu!
Teenagers mna shida sana, mnaleta utoto hadi kwenye vitu vya maana na english zenu za kuombea maji. Nenda kamalizie homework huko.You can't prove your allegations and you are asking me to go read the contract? So why you alleged something you can't prove?
Who is stupid here?
Nafikiri wewe ni mgeni humu.Teenagers mna shida sana, mnaleta utoto hadi kwenye vitu vya maana na english zenu za kuombea maji. Nenda kamalizie homework huko.
Kwanza wamepewa bandari ngapi? Kwa mujibu wa kifungu gani?Hakuna mtu anayekataa uwekezaji. Na nchi yetu haina ubaguzi wa aina yoyote.
Tuwape kwanza basi Bandari moja tu ya Daresalam. Hata kwa miaka 50 ili kuwapima utendaji wao.
Serikali imejibu nini kuhusu Hilo swali lako? Kama hutaki kuelewa bakia hivyo hivyoMkataba wa uwekezaji na ukodishaji ni wa miaka mingapi mkuu? Tutalipwa kiasi gani kwa mwaka?
Vv
Wafia nchi!Viongozi wazarendo ndo kina nani hao?
Hakuna anaekata uwezekezaji ila si kwa maktaba wa kishenzi kama huo"""Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia""""
You speak as if wewe ni raia wa nchi nyingine...pathetic kabisa, hakuna Mtanzania anayekataa uwekezaji ulio na tija kwa Tanzania.
Huo mkataba una ushenzi gani?Hakuna anaekata uwezekezaji ila si kwa maktaba wa kishenzi kama huo
Faida inapatikanaje bila kuitumia kupitisha mizigo ya mataifa yasiyo na bandari.Kwanza huna adabu unawaita watanzania wajinga wakitetea rasilimali nyeti kama bandari,bandari ipo kutunufaisha sisi hao wengine ni ziada tu.
Tupate viongozi wenye akili waweze kuendeshaa na itaka sawaUnamhemko na unahasira sana ee Bandari hapana
Mbona huzungumzi mkopo Serikli waliokopa kuboresha bandari
You just kidding
Unapuyanga tuu Huna issue yoyote hili la bandari limefika patamu
Big boo hao DP World kama ni wema wapewe bandari ya Tanga au Mtwara waindeleze ambayo haina miundombinu
Ya Dsm hapana .JPM alishawekeza vya kutosha