Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Umesema maneno mazito sana kwa kweli
 
Hawawezi kuelewa mkuu. Utajibiwa kwa hoja zenye kudhihirisha ujinga huohuo kutoka kwa watanzania. Watanzania ni watu wajinga sana kwenye mambo ya maana. Tena cha kushangaza, hata kundi utakaloona ni la wasomi nao ni wajinga tu. Viongozi aina ya Magufuli ndio dawa yao.
 
bora maana wanapita hapa kwetu wanatuibia na pisi zetu dadeq
 
Muwe mnaelewa hoja! Hakuna anayepinga uwekezaji wala uboreshaji wa Bandari ili kuleta ufanisi!

Hiyo haihalalishi kugawa Bandari zetu na kuingia ktk mikataba ya Kimangungo!
Hivi nyie watu mbona wajinga ilhali mmesoma?? Inakuwaje mnasoma halafu mnabakia na ujinga wenu vichwani!
 
Tatizo la huko mzigo utachekewa hd mwezi mzima. Mzigo uzunguke hd South Africa ndipo ufike kwao. Bado tz tutawezafanikisha mapema zaidi tukiwa na wepesi

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaeitakia mema tuoneshe mchango wako au input Yako
Acha ukuwadi, mtu yoyote anayepinga mkataba wa kisenge kama huu ni mzalendo na anaitakia mema nchi hii.

Kama sisi tumeshindwa kuendesha mandali kwa faida., basi tuiwaachie vizazi vyetu vijavyo kuliko kuifunga kwa kuwapa wageni bule kabisa kwa milele
 
Ni vita ya kiuchumi inayoendelea kati ya World Bank dhidi ya DPW. World bank walipotoa pesa ya mkopo wa kuendeleza bandari walitegemea kazi ya ukarabati na usimamizi wapewe makampuni ya magharibi ili wauendeleze ushawishi wao katika ukanda huu.

Maamuzi ya serikali ya kwenda na DPW ni kama wamewachanganya, hivyo mashambulizi yao yanakuwa mengi kupitia mawakala wao baadhi wakiwa humu JF.
 
PUMBA? Watanzania hatuwapingi hao DP World. Tunachoinga ni mkataba wa kisenge
 
Wewe maanina huna unalojua maku wewe

Tics Yuko Berth 8-11 ambazo ni Container terminal sio bandari nzima kima wewe!

Hao DP mnawapa Bandari nzima mna akili nyie.


Maku wewe
Punguza povu na ongea ukweli sio kupotosha watu. DPW wanapewa baadhi ya mageti sio bandari nzima.

Wanakuja kuongeza ufanisi, hatutaki tena yale mambo ya meli kukaa kule baharini kwa wiki nzima ikisubiri huduma.

Hii ni vita nzito kati ya World Bank na DPW, ni vita ya kiuchumi. Hivi sasa mmarekani kahamia huko Zambia na DRC ili auchukue mzigo wao kupitia bandari ya Lobito, ili kutukomoa sisi tulioamua kwenda na DPW.

Usipojua hizi habari kwa kina, unaishia kutukana tu matusi na kuwa bendera hufuata upepo mtu wa kuvutwa sikio na kupelekeshwa hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…