Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Mizigo mingi ya congo inatokea china ambae ni super producers. Itakuwa ni gharama kubwa Kwa mizigo kutoka china Hadi Angola.

Bandari ya Dar ipo hapo kimkakati.

Kama bandari ya msumbiji iliyo Bahati ya Hindi imeshindwa kuichallenge Dar es salaam port ndio ije kuwa bandari ya Angola
 
Safi sana endeleeni kukaza maana Zambia na DRC wanataka kutumia Bandari ya Namibia, Msumbiji na Angola..
 
Wewe ni mzanzibari. Haya ya Tanganyika tuachie wenyewe
 
Taja Kifungu cha Katiba kinachosema Tanzania lazima isafirishe Mizigo ya Zambia na Congo!
Wewe ndio wale wajinga ambao mtoa mada anawazungimzia..

Kwa taarifa Yako bila Azmbia na DRC Congo kusafirisha mizigo Yao via Dar Port Tzn itakuwa maskini wa mwisho..

Wakipungiza nusu tuu ya Cargo Yao ndio kusema nusu ya mapato ya TRA yatapungua ila wajinga kama wewe hamuwezi kuelewa..

Lobito Port ya Angola operator wale ni AG Group ya Abu Dhabi
 
Kwa hiyo kwa akili yako unaamini huo uwekezaji wa tshs trillion 1 serekali haiwezi kuufanya.kwamba Serikali yako inashindwa kutenga trillion 1 kuwekeza kwenye bandari katika bajeti yake hata tukisema tutenge kwa awamu 3 inawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…