Zambia wana malls nyingii na hawajisifu kama hawa jamaa zetu wa Kenya

Wazambia sio watu wa mbwembwe,pamoja na mall zao wafanyabiashara wa kizambia hasa wadada wamejazana k'koo na mchikichini hapo,kupoint nguo na viatu na kwenda kuuza kwao
Majamaa zetu mazuzu sana
Kuna mshikaji alienda Lusaka alinambia kuna malls kila kona mm nikahisi ananijaza tu...sasa kitu kama unavyoona lakin wenyewe wako kimya...Hawa nyumbu as jubilee wanakelele sana na vyombo hawana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is ckear you dont kniw how to read.

Nimeweka article ya Washington Post inaelezea trends za malls huko USA.

Umesoma? Unajua Washington Post ni kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa unaejitutumua kumquote ana uelewa mpana kuliko wewe, anaongelea mambo kama yalivyo,. Wewe akili yako size ya kuku, tazama umeshaanza ligi tena,

Ni mtazamo wako kulingana na uwezo wako (wa kufikiri na uelewa).
 
Hebu tujulishe kinachoendelea. Hivi, walishafunga duka kama walivofanya huko bongolala na hatuna habari? πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kamuulize ndugu yako hapo juu na utoe akili fupi hapa
 
Hiyo akili yako refu was not enough to prevent Jumia from closing their operations in Danganyika
Yaani kitu kinacho uzwa kariakoo Tz , kikuu china nk kwa bei rahisi eti nikanunua kwa bei kubwa jumia ili iweje.
 
Am proud of this guy. Darasani tulikuwa tunamwita Ghana Baby . Na chuo alijulikana kwa jina hilo.. safi sana naona katusua kwnye channel yake .. wode maya mwanangu nakumiss sana
Darasani mlisoma naye wapi? Kwenye ndoto yako pengine. Jamaa kasomea Aeronautical Engineering huko China. Wewe ulisomea kijitonyama high school.



Ile shule siku hz inaitwa ALI MAUA Secondary

Sent using Jamii Forums mobile app
MK254 mimi niliguess tu Kijitonyama high school. Sikujua kwamba ipo. Hahaha. Huyu Mtanzania anaconfirm kwamba ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…