Zangira ni nani na katumwa na nani kuwashughulikia akina Lema huko ughaibuni?

Zangira ni nani na katumwa na nani kuwashughulikia akina Lema huko ughaibuni?

Hizo style zinatumika kwa watu wenye madhara na si vinginevyo, huwezi ukaniambia eti TL na Lema wanamadhara kiasi cha system ya Tanzania kwenda kuwatafuta na kuwaua ughaibuni na kuharibu vibaya image ya nchi..

Kama hizo taarifa ni za kweli wahusika watoe taarifa kwa mamlaka za nchi walizopo halafu uone Tanzania itakavyoshukiwa na hilo jina tajwa sijui ZINGIRA atakamatwa huko Europe mara moja.....vinginevyo zitakuwa porojo za twita kutafuta porojo nyumbani.....System haiwezi kuwa Pumbavu kuwaza kijinga hivyo...
System zetu ni za ovyo sana mkuu na zinaoperate very locally and primitive wakati dunia iko mbali sana kwenye tech ya ulinzi na usalama.

Mfano ni kutaka kumuua Lissu kwa risasi,hawa watu wetu wa Intelijensia wamepitwa sana na wakati
 
Waliotajwa hawajafikia hatua ya kuwa na madhara kiasi cha kuchukuliwa hatua aka PK style.... hao wapinzani wa PK walikuwa na madhara makubwa kwa PK ndio maana aliamua kuwaeliminate... hao wapinzani wa PK ndio walikuwa wanavufund vikundi vya wanamgambo kama Maimai na fdla nk wakiwa ughaibuni..

Lema ana madhara gani kwa Taifa hili mpaka likamuue Canada, TL ana madhara gani kwa Taifa hili mpaka akauliwe Belgium... naomba niwaambie watu kitu tu...TL weupe walishamdharau hivyo hakuna backup wanaweza kumpa dhidi ya harakati zake na Tanzania, Lema hana uwezo wakufanya lolote dhidi ya Tanzania huko aliko kifupi hana madhara ndio maana hizo naita story za twita...
Well said.
 
Kuna taarifa zimenistusha sana,zinarushwa kwa mtindo wa onyo hasa kwenye mtandao wa heshima...Twitter kuwa kuna mtu anaitwa Zangira ambae katumwa kuwashughulikia kimafia akina Lema na wenzake uko ughaibuni walipokimbilia kunusuru kesho yao.

Huyu mtu ni nani hasa na katumwa na nani?

Je 'muuaji' Zangira atafanikiwa au ameshashindwa kabla baada ya taarifa zake kujulikana?

Intelijensia ya magharibi itakubali uchafu ufanyike kwenye ardhi yao?

Je kuna wasiokubaliana na namna mambo yanavyoendeshwa na wameamua kuwa wavujishaji siri?

My take:
Kama yasemwayo ni kweli basi tumefika mahali pabaya sana na mh.Rais inabidi asimame imara sasa kusafisha uchafu huu unaofanywa na wachache na wasiojulikana vizuri bado. Kama ni kweli,Zangira adhibitiwe uko uko ili liwe fundisho kwa akina Zangira wengine.
Sasa rais si ndio anasafisha kwa kutumia Zangira we vepe❗
 
Back
Top Bottom