samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
Korti gani ilivyo huru mkuu?
Au unamaanisha koti la kuvaa?
Hii hii mkuu iliyomuachia Mdude Chadema na kumfunga Sabaya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Korti gani ilivyo huru mkuu?
Au unamaanisha koti la kuvaa?
Dai katiba,hizi sheria zibadilishwe
Mawazo mgando hayoAta TL aliporipoti kufuatiliwa na wasiojulikana wakiwa kwenye gari ilisemwa ni kiki.
Lisemwalo lipo,huyu muuaji afuatiliwe na serikali za magharibi na ikibidi wamrudishe akiwa kwenye 'casket' ili waliomtupa wakazike uchafu wao
Warafute namna.Get rid of the modafantasia as quickly as possible!Kuna taarifa zimenistusha sana,zinarushwa kwa mtindo wa onyo hasa kwenye mtandao wa heshima...Twitter kuwa kuna mtu anaitwa Zangira ambae katumwa kuwashughulikia kimafia akina Lema na wenzake uko ughaibuni walipokimbilia kunusuru kesho yao.
Huyu mtu ni nani hasa na katumwa na nani?
Je 'muuaji' Zangira atafanikiwa au ameshashindwa kabla baada ya taarifa zake kujulikana?
Intelijensia ya magharibi itakubali uchafu ufanyike kwenye ardhi yao?
Je kuna wasiokubaliana na namna mambo yanavyoendeshwa na wameamua kuwa wavujishaji siri?
My take:
Kama yasemwayo ni kweli basi tumefika mahali pabaya sana na mh.Rais inabidi asimame imara sasa kusafisha uchafu huu unaofanywa na wachache na wasiojulikana vizuri bado. Kama ni kweli,Zangira adhibitiwe uko uko ili liwe fundisho kwa akina Zangira wengine.
Sentensi rahisi kama hizi muwe mnatoa kwenye kitchen party.Huu ni uchonganishi na uzushi. Serikali ya awamu ya 6 iko busy kuboresha maisha ya watanzania kwa kuimarisha miundombinu ya afya, elimu, maji, usafiri, kilimo, uwekezaji nk
Aya mawazo unayo wewe ila wengine hawawezi kuwaza kama wewe.kwahiyo wacha wahusika wachukue tahadhari.kwasababu likitokea lakutokea hutasaidia chochote zaidi yakusema walikufa kizembe na R.I.P.Sinema hizi, unafikiri unaweza kuua kirahisi mkimbizi wa kisiasa Canada na Belgium?...
Impact ya Lema na TL kwa nchi ni ipi kiasi cha nchi kuharibu image yake?.... kuna wakati zinatafutwa attention tu...
Waripoti hizo taarifa kwa mamlaka za nchi walizopo halafu uone moto wake...ukiona wameishia twitani tu ujue ni zile zile sinema tu..
Kagame hajawahi na wala hata subutu kuua Mtu kwenye Nchi ya Mzungu,madhara yake anayajua.Sio twitter tu.
Kagame staili hiyo mkuu maana Kagame alifanikiwa sana kuwafuata wapinzani wake walipokimbilia na kuwadhuru.
Ila naungana nawe kuwa ni kazi ngumu sana ila tahadhari ni bora..
Ninajua ni kwamba assassination haifanyiki kishamba km ya uku kwa kumiminia mtu risasi..Kagame hajawahi na wala hata subutu kuua Mtu kwenye Nchi ya Mzungu,madhara yake anayajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
huko CDM bila shaka kuna wanasheria wasomi, kwahiyo tutasubiri CDM ishike dola ndio Makonda aburuzwe mahakamani? au tunasubiri huruma za watawala ndio tupate haki? hao wanasheria wetu hawana cha kufanya ili bwana Makonda aburuzwe kortini?
Mkuu naona unajivua nguo.
Mtu akiuawa hata hapo mtaani kwenu au kupigwa RISASI jukumu la serikali ni kuhakikisha Mhalifu anachukuliwa hatua.
Sio lazima uende kushtaki. Kazi moja wapo ya serikali ni kulinda Raia,
Uwe unajiongeza,
Serikali imeshindwa kulinda raia wake sasa, wewe unachukua hatua gani kuhakikisha haki ya ndugu yako inapatikana? hapa ndipo poiny yangu ilipo... Au unakaa unasubiri huruma ya huyohuyo aliyeshindwa kukulinda?
Mtaanikwa bila huruma , wauaji wakubwa nyie !View attachment 1984524
Nadhani huu ni uzushi,hakuna sababu ya kufanya hivyo
Unatetea kitu gani ?Kwa fikra za haraka kabisa tuseme tena labda, Lisu ndo angeweza kufuatiliwa kijasusi hadi nje.
Lakini hawa wengine jamani, hapana, hawana madhara ya nguvu kubwa kiasi hicho kutumika kuwafuata hadi nje, lakini kama wakiamua na Zangira kama yupo basi tayari atakuwa kamaliza mchezo, anachofanya sasa yeye ni kuhesabu tu siku za matokeo.
Lema alikuwa na madhara gani hadi aseme na yeye ni mkimbizi wa kisiasa, ok sawa, Lema alikuwa na ushawishi kuliko Kabwe na Mbowe, basi, maana siyo kwa kisiasa hizi.
Unaandika uongo jf kwa kudhani utamdanganya bwege gani ?Wazungu wanapokupokea kama mkimbizi wa kisiasa huwa wanapima pia impact yako kwao incase wakitaka kukutumia, ushawishi wako huko utokako na how smart you are...
wakishakupima na kugundua wewe ni potential kwa siasa zao ndani ya nchi utokako basi hukupa backup na kuweka pressure huko utokako, wakigundua huna msaada wanakuacha tu uishi na kukupa kila unachotakiwa kupata kama mkimbizi..
TL wazungu walitaka kumtumia kumpa pressure JPM baada ya yeye JPM kuwa mgumu kwenye baadhi ya mambo ambao wao weupe wanabenefit huku....wakagundua TL hayuko smart kwa wao kutimiza mission zao zaidi ya wao kutafuta suluhu na CCM kupitia walio ndani ya CCM na sytem...mwisho wake wamemuacha TL kama mkimbizi tu na harakati zake mwenyewe.. ..huo ndip ukweli..
Nani walimpiga risasi TL..
Unajua maana ya serikali lakini?
Serikali ikishindwa kujenga Flyover au Hospital kubwa wewe utachukua jukumu gani?
Serikali kazi zake ni zile kubwa kubwa ambazo zinaikabili jamii,
Assume Mkeo kauawa na watu wasiojulikana, tukio hilo likafahamika na vyombo vya Dola, alafu uchunguzi haufanyiki, hakuna kinachoendelea, wewe utafanyaje? Utafikiria nini?
Au unataka kusema wachukue sheria mkononi?
Au wafanye uchunguzi Jambo ambalo ni KAZI YA serikali kupitia vyombo vyake.
Au unamaanisha wapambane na serikali? Ambayo kimsingi ndio yenye wajibu wa kufuatilia Jambo Hilo?
Alijipiga mwenyewe[emoji51][emoji51]nani alimpiga risasi?...