zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ali kibao alikua anaandamana? Deus Soka alikua anaandamana? Kuna comment huwa mnaandika recklesslySasa wapinzani wanaandamana sirini au hadharani, utekaji unafanyika hadharani kama watu wanatangaziwa leo tunakuja kufanya utekaji?
Ali kibao alikua anaandamana? Soka alikua anaandamana? Sativa vipi? Acheni kutetea ujinga. Mbona mpaka majina ya waliomteka sativa yalitajwa ila hajakamatwa hadi leo.Waandamanaji wanakamatwa kwa sababu huwa wanatangaza siku za maandamano, lakini linapokuja swala la utekaji, watekaji huwa hawakwambi utatekwa lini! So mfano wako hauwendani na scenario yenyewe!!
Muulize tundu lissu kwanini analilia kwenda kuliona kaburi la JPMMtumie Tundu Lisu hii Comet yako.
Huku mafwele huku abdul π huyo jamaa asije kuwa ameingilia line ya bwana ABDUL THE KILLER...ole wake mtu usimame kwenye njia ya bwana abdul mtoto wa mjalaana aliye laaniwa yeye na mama yake .Alaaniwe mafwele na kikosi kazi chake
AmeenWanasema damu ya mtu inanuka naomba imnukie huyo chura huko alipo alipie damu hii isiyo na hatia
Tupambane, tusichukiliwe kama mbuzi.Kuanzia sasa hakuna kuchukuliwa kizembe kwenda kuhojiwa pambana ni heri ufie nyumbani kwako!
Alipoishia Magu mama anapaendeleza hapo hapo.JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Chama jipya Cha SisimiziMarehemu alikuwa wanachama wa chama gani?
Kwamba enzi za Kikwete kurudi nyuma hapakuwa na haya mambo? Au ulikuwa bado mdogo?
Tulishasema humu,kuna watu wanapita na upepoMbona haya mambo yanaendelea wakati jamaa amekufa mwaka wa tatu sasa
Hawa watu wanafikiri wataishi milele kwenye uso wa dunia hii.Huku mafwele huku abdul π huyo jamaa asije kuwa ameingilia line ya bwana ABDUL THE KILLER...ole wake mtu usimame kwenye njia ya bwana abdul mtoto wa mjalaana aliye laaniwa yeye na mama yake .