Mkuu mimi binafsi sijafurahi hiko kitendo na wala sijafurahi kitendo cha Majeshi kujazwa zanzibar ili kuwaogofya wananchi,Nimefurahi kwamba Jeshi la Polisi limeonesha weledi wa hali ya JUU katika ile hali na kuondoka.Hii clip itakuja kuwatetea askari wetu siku watu wakipelekwa THE HAGUE au mbele ya MUUMBAMnafurahia raia kurushia polisi mawe. Wakati huohuo mnachukia polisi kupiga raia virungu.
Hii ndio haki inayopiganiwa!
hivi wewe mbona unakua fala sana?unapenda machafuko huku we uko chini ya meza lofa weweKuna hatari mitandao kuzimwa ili kuficha mauaji makubwa na kutisha kuanzia wakati wowote.
Hakuna sehemu kwenye katiba polisi alipiruhusiwa kumdhuru mwananchi kwa silaha ya moto ikiwa mwananchi huyo hana silaha ya moto.
Kama wakaiwapiga risasi na wanachi hawana risasi wana la kujibu ,kama ni mawe kuna njia nyingi tu za kuwatawanyisha .
Binafsi sipendi vitendo vya uvunjifu amani, lakini nimechoshwa na upuuzi wa kigurupu cha watu wachache Zanzibar kujipa hati miliki ya kuongoza bila ya ridhaa ya wananchi.Kuelekea uchaguzi mkuu tarehe 27 na 28 Zanzibar. Askari wa Usalama washambuliwa kwa mawe
View attachment 1612185
hawa ndio wanalinda amani nyammbafff shwainn weweeeKuelekea uchaguzi mkuu tarehe 27 na 28 Zanzibar. Askari wa Usalama washambuliwa kwa mawe
View attachment 1612185
Lengo ni ccm watangazwe washindi bila ridhaa ya wazanzibari.Polisi ongezeni askari wasio na uniform mitaani hapo mbona ilikuwa rahisi tu kuwadaka hao watupa mawe sio lazima wadakwe wote mnakamata wachache tu katika wengi wanaotupa mawe halafu mnawabana korodani na koleo hadi wakumbuke bibi zao waliofariki...
TUBURUDIKE kidogo na polisi jamii kazi ya polisi ni pamoja na burudani karibu uburudikeHahaa unapigana kwa ku google mitaa ya Zanzibar.
Hii kauli siku zote mimi huwa siielewi hata kidogo..Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Wewe ni walking deadSawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.
Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.
Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Fuatilia uchaguzi wa malawi uliopita ndiyo utakapojua haujui.kama the Hague imemuacha mkapa mpaka amefariki kifo cha kawaida kabisa,haikuwahi kusema neno.unadhani mwaka huu mtakuwa mmewapa kitu gani,ili mtakapofanya uhuni mgongwe ianze kushughulika na nyinyi!!!!
nenda kachunguze ya nigeria yanavyoendelea,ndio utajua duniani hapa hakuna haki,bali una nini ili upate nini,that simple.
Fuatilia uchaguzi wa malawi uliopita ndiyo utakapojua haujui.
Kufa nikijilinda si dhambi - pande zote zinapaswa kutumia busara kila kabla ya kutenda jamboKwa umri huo wangekuuwa .
N.b
No offence
Polisi ongezeni askari wasio na uniform mitaani hapo mbona ilikuwa rahisi tu kuwadaka hao watupa mawe sio lazima wadakwe wote mnakamata wachache tu katika wengi wanaotupa mawe halafu mnawabana korodani na koleo hadi wakumbuke bibi zao waliofariki
Tatizo hapo in kutokuwa na askari wasio na uniform mitaani.Chukueni makomandoo wavalisheni nguo za mitaani waingie mitaani
Zanzibar mitaa mingi imebanana nyumba kuwadaka hao wahuni kazi ndogo mno sababu vichochoro vichache na vidogo rahisi kuwazingira pande zote na kuwabana kati
Sehemu korofi shusheni makomandoo wavalisheni hata hijabu na kanzu