Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Mnafurahia raia kurushia polisi mawe. Wakati huohuo mnachukia polisi kupiga raia virungu.
Hii ndio haki inayopiganiwa!
Wazanzibari - kofia kwenu. Shikilia hapo hapo. Bado kitambo tu, kutapambazuka. Mbarikiwe sana kwa ujasiri wenu. Na hawa waoga wa Bara watajifunza kitu toka kwenu.
Look yaani wameshindwa kuondoka hata na mtupa Mawe mmoja tu wakamwonyeshe cha mtema kuni? Hapo ilitakiwa waondoke na sampuli moja tu.Toooba!!
Heko police kwa kutumia busara - msakila nisingekubali
Look yaani wameshindwa kuondoka hata na mtupa Mawe mmoja tu wakamwonyeshe cha mtema kuni? Hapo ilitakiwa waondoke na sampuli moja tu..
Askari wote wa Zanzibar wanajulikana hata wawavishe gunia watu wana wajuaPolisi ongezeni askari wasio na uniform mitaani hapo mbona ilikuwa rahisi tu kuwadaka hao watupa mawe sio lazima wadakwe wote mnakamata wachache tu katika wengi wanaotupa mawe halafu mnawabana korodani na koleo had I wakumbuke bibi zao waliofariki..
Waleteni hao polis wa bara ndio wazuri hasa mazali mitaa hawaijui waleteni twa watamani sana maanaa haoLook yaani wameshindwa kuondoka hats na mtupa Mawe mmoja tu wakamwonyeshe cha mtema kuni? Hapo ilitakiwa waondoke na sampuli moja tu...
Akili hunaSawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.
Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.
Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
JWTZ wakifanya haya dhidi ya raia ni uzandiki na kushindwa kwa jeshi. Badala ya kulinda mipaka, wameacha magaidi wa Msumbiji kuivamia Mtwara. Wao wanahangaika na raia wasio na silaha Zanzibar. Huku ni kufeli kwa dola.
Hamna jeshi linaloweza kuwashinda wananchiSawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.
Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.
Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Magufuli, kwa uwezo mdogo wa kiutawala aliouonyesha mpaka sasa, na kutotumia busara/hekima/demokrasia nk.bali kupenda ubabe/chuki na visasi, huenda akaingia katika historia ya kuwa rais atakayeiingiza nchi hii kwenye civil war.Mkuu hakuna jeshi linaloweza kuishinda nguvu ya UMMA , halijawahi kutokea mahali popote pale duniani. Raia wakisema sasa basi si risasi mabomu na maji ya pilipili yatakayozuia dhumuni lao la kupambana na uonevu.
Wananchi wakiamua lazima busara itumike ,risasi haziwezi kuzuia nguvu ya umma ,utaua watu kadhaa lakini wananchi lazima wakugeuze kitoweo maana risasi zitaisha tu.Toooba!!
Heko police kwa kutumia busara - msakila nisingekubali
HahahaaaaaaaaaaaInaonekna wewe ni Magufuli mwenywe ama Dotto James. Kuja kufika 29 Okt mtakuwa mmevaa kombati wenyewe.