Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

Polisi ongezeni askari wasio na uniform mitaani hapo mbona ilikuwa rahisi tu kuwadaka hao watupa mawe sio lazima wadakwe wote mnakamata wachache tu katika wengi wanaotupa mawe halafu mnawabana korodani na koleo hadi wakumbuke bibi zao waliofariki

Tatizo hapo in kutokuwa na askari wasio na uniform mitaani.Chukueni makomandoo wavalisheni nguo za mitaani waingie mitaani

Zanzibar mitaa mingi imebanana nyumba kuwadaka hao wahuni kazi ndogo mno sababu vichochoro vichache na vidogo rahisi kuwazingira pande zote na kuwabana kati

Sehemu korofi shusheni makomandoo wavalisheni hata hijabu na kanzu
Kwahiyo wewe ndio unawafundisha askari kuwadhuru raia, ila kwa taarifa tu hakuna jeshi duniani lililowahi kushinda nguvu ya wananchi, litafanikiwa kuua hao wachache unaowasema lkn at last lita surrender.
 
Tuache this self righteous blunt!

Hawa wanaopigania kwa nguvu kwenye kinyang'anyiro wao wanataka nini kama sio madaraka!? Wakiwa marais miraculously yoote unayoyasema yatakuwa safi over night!?

Tusifumbwe macho na chuki! Chuki inaondoa objectivity... Think looong and Hard!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Zanzibar kuna Muafaka ulishafanyika pamoja na kwamba CCM miaka yote imekua ikishindwa lakini wapinzani wao wanakubali kutulia .
Zanzibar kuna katiba iliyoka wazi kuwa Tume inapaswa kuwa huru na kushirikisha vyama vyote.
Je,hayo yanafanyika ?
Zanzibar Mshindi wa pili anakua makamu . Maalim Seif alikubali na akawa makamu, je ,ni kwa nini CCM wao hawataki na wanafanya mambo ya uhalifu kwa wazi kabisa kila unafika uchaguzi.?
Je wanataka muafaka tena baada ya kuua watu wakati huko tulishatoka?
Wazanzibar na watu waliopo kwenye nchi yao na wanastahili kupewa Uhuru wa kuwachagua viongozi wao kwa mujibu wa sheria .
Tunaposema kuwa CCM ibadilike tunamanisha wakubali kuwa kile ni chama tu kama vyama vingine ndio maana ASP na TANU iliondolewa na hakuna mtu aliyepoteza maisha mana ni Jina tu kwenye usajili. Watu wanapaswa kuzingatia sheria kwa haki. Mtu akishinda atangazwe ili akishindwa kuleta matumaini aliyowaaminisha watu naye atoke kwa kura .Ndio ustarabu wa binadamu aliyestaarabika . CCM wanatufanya tuishi kama manyani huko porini bila ustarabu ,watu wanagombania mpaka kuapishana ! Mawakala tu wanavurugwa na kunyanyaswa kama watumwa !! Hapo unaona CCM wanatenda haki hivyo! ? Nani wa kuteswa na binadamu mwenzake kila siku?
Nani wa kuwakemea watesaji na wanyanyasaji kama marais Shein na JPM wamekaa kimya kuona hayo yanatendeka ?
Ni bora CCM ishindwe ili hao walioko nyuma ya pazia wanaowashauri vibaya marais wetu wakose nguvu ya kulivuruga taifa letu na sheria zake.
 
Polisi ongezeni askari wasio na uniform mitaani hapo mbona ilikuwa rahisi tu kuwadaka hao watupa mawe sio lazima wadakwe wote mnakamata wachache tu katika wengi wanaotupa mawe halafu mnawabana korodani na koleo hadi wakumbuke bibi zao waliofariki

Tatizo hapo in kutokuwa na askari wasio na uniform mitaani.Chukueni makomandoo wavalisheni nguo za mitaani waingie mitaani

Zanzibar mitaa mingi imebanana nyumba kuwadaka hao wahuni kazi ndogo mno sababu vichochoro vichache na vidogo rahisi kuwazingira pande zote na kuwabana kati

Sehemu korofi shusheni makomandoo wavalisheni hata hijabu na kanzu
Ndio ndio,hawa wanatumika na mabeberu watumie wale makomandoo wa maskani ya kibandamaiti na mchambawima,tunao makomandoo wa kutosha sana kuwathibiti hao wasaliti
 
Wazanzibar wote tunajuana kwa sura, majina na mitaa tunayoishi. Wabara walioletwa Zanzibar kuja kuharibu uchaguzi wetu tunawatambua kirahisi mnoo. Nawapa angalizo hapa, Zanzibar sio mahali pa kufanyia mizaha.
Naona mmeanza kusahau alichowafanyia hayati B.W. MKAPA.

Hatukatai sometimes haki inapiganiwa lakini kwa wakati huu na ule mnapigania kitu ambacho mnacho.

Acheni haya mambo yenu mapema kuleta vurugu zisizo na sababu. Tutawaumiza!
 
Look yaani wameshindwa kuondoka hata na mtupa Mawe mmoja tu wakamwonyeshe cha mtema kuni? Hapo ilitakiwa waondoke na sampuli moja tu

Polisi wa bara wapelekwe Zanzibar kudhibiti huo uhuni askari hawezi.kimbia RAIA mtupa mawe akashindwa kuondoka nao hata wawili tu wa kuwafungulia kesi ya ugaidi waozee ndani miaka huku wakiwa wametiwa vilema vya maisha

IGP omba maelezo ya kueleweka kama hawakuondoka na gaidi hata mmoja hapo

Hao ni magaidi wakidakwa hiyo ndio kesi yao ni vikosi vya kigaidi vikishambulia vikosi vya serikali.Kusiwe na huruma hata chembe kwenye hilo
Una mawazo ya kijinga sana, kwahiyo hao askari wakiondoka na hao wawili wakaozee ndani watakuwa wamesolve tatizo, hujui Tanzania ina watu zaidi ya milion 60.
 
Hao Polisi wanaubinadamu,mikononi wanavyuma alafu wanakimbia mawe!?Polisi wetu wanautu na huruma sana.
 
Sawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.

Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.

Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Wenye kauli kama zako ndo wanamharibu MEKO.We unaropoka tu mshahara wako wenyewe wa kununua nyanya lakini bado unambwekea mshenzi.
 
Zanzibar kuna Muafaka ulishafanyika pamoja na kwamba CCM miaka yote imekua ikishindwa lakini wapinzani wao wanakubali kutulia .
Zanzibar kuna katiba iliyoka wazi kuwa Tume inapaswa kuwa huru na kushirikisha vyama vyote.
Je,hayo yanafanyika ?
Zanzibar Mshindi wa pili anakua makamu . Maalim Seif alikubali na akawa makamu, je ,ni kwa nini CCM wao hawataki na wanafanya mambo ya uhalifu kwa wazi kabisa kila unafika uchaguzi.?
Je wanataka muafaka tena baada ya kuua watu wakati huko tulishatoka?
Wazanzibar na watu waliopo kwenye nchi yao na wanastahili kupewa Uhuru wa kuwachagua viongozi wao kwa mujibu wa sheria .
Tunaposema kuwa CCM ibadilike tunamanisha wakubali kuwa kile ni chama tu kama vyama vingine ndio maana ASP na TANU iliondolewa na hakuna mtu aliyepoteza maisha mana ni Jina tu kwenye usajili. Watu wanapaswa kuzingatia sheria kwa haki. Mtu akishinda atangazwe ili akishindwa kuleta matumaini aliyowaaminisha watu naye atoke kwa kura .Ndio ustarabu wa binadamu aliyestaarabika . CCM wanatufanya tuishi kama manyani huko porini bila ustarabu ,watu wanagombania mpaka kuapishana ! Mawakala tu wanavurugwa na kunyanyaswa kama watumwa !! Hapo unaona CCM wanatenda haki hivyo! ? Nani wa kuteswa na binadamu mwenzake kila siku?
Nani wa kuwakemea watesaji na wanyanyasaji kama marais Shein na JPM wamekaa kimya kuona hayo yanatendeka ?
Ni bora CCM ishindwe ili hao walioko nyuma ya pazia wanaowashauri vibaya marais wetu wakose nguvu ya kulivuruga taifa letu na sheria zake.
Unazo legit concerns... Na ukiondoa hasira unaona jinsi gani unakuwa objective... Unajenga hoja na zinakuwa na mashiko.

Swala nin alopinga ni kuwaaminisha wananchi wa chini kabisa ya kuwa uongozi pekee ukibadilika kila kitu kinakuwa sawa...

Na kibaya zaidi kufanya hivyo huku tukitumia maisha yao kama ngao. Wazanzibari hata kesho kukigeuka uongozi wapo watakaokuwa wapinzani na the two groups won't see eye to eye... Itabidi wachuane

Shida ni kama precedent being set inakuwa na kuondoana kwa vurugu. Kwann kusiwe na hekima na busara ya namna ya kuweka mambo sawa kwa kulinda utu na heshima ya wazanzibari!?

Media campaign zimevadilisha maisha ya wazanzibari wengi sana... media na uongozi unapokuja pamoja tunaona makubwa...Leo watoto wa kike wanaenda skuli wanakuwa wanasheria wanafanikiwa...

Kama tumeweza kwenye haya tunashindwa vipi kutengeneza jamii itakayoheshimu makubaliano muafaka wa muungano!? Maana muungano sio rais na rais! Ni watanganyika na wazanzibari.

Kama ukianza Uzanzibari kwanza kesho utakuwa uunguja na kesho kutwa utakuwa ukoo ule na ukoo huu. Lazima tuache Umimi... Dunia hii ni kongwe sana... Na hatujui vizazi 6 nyuma walikuwa wapi.. utashangaa unayeng'ang'ania Uzanzibari mababu walikuwa kishapu Shinyanga...

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Polisi ongezeni askari wasio na uniform mitaani hapo mbona ilikuwa rahisi tu kuwadaka hao watupa mawe sio lazima wadakwe wote mnakamata wachache tu katika wengi wanaotupa mawe halafu mnawabana korodani na koleo hadi wakumbuke bibi zao waliofariki

Tatizo hapo in kutokuwa na askari wasio na uniform mitaani.Chukueni makomandoo wavalisheni nguo za mitaani waingie mitaani

Zanzibar mitaa mingi imebanana nyumba kuwadaka hao wahuni kazi ndogo mno sababu vichochoro vichache na vidogo rahisi kuwazingira pande zote na kuwabana kati

Sehemu korofi shusheni makomandoo wavalisheni hata hijabu na kanzu
Ww n mpumbv sana

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hivi Ni kweli tunajipa matumaini kwamba upinzani utashinda au tunajipa moyo.
Kwa kufuata taratibu zote bila wizi wa kura, upinzani utashinda kwa kura nyingi sana,wewe miaka 5 iliyopita hukuwa hapa nchini inaelekea(kwa comments zako).Kama huna taarifa,wenzio tumepigika.
 
Maalim amelala ndani kwake,watoto wa watu wanawarushia mawe askari wenye silaha.. Hotba zake kampeni ni shari shari,,The Hague itamhusu
Hata kama akilala kila mtu ana sehemu yake ya kufanya, hao wanaorusha mawe sio wajinga wamtegemee Seif kwa kila kitu.
 
Tunakoelekea sio kuzuri hata kidogo na ole wao sasa wavuruge uchaguzi kwani hii ni dalili ya watu kuishiwa uvumilivu.

CC:Jiwe
Wao watumike tu kuwatetea watesi wetu kupindisha haki,Hali wao awanufaiki na chochote kizazi cha sasa sio cha zamani
 
Back
Top Bottom