Hata wewe utaelewa kuwa this is 2020 not 2001.unasoma saikologia mwaka wa ngapi huu kijana wangu!!!!
bado siku 1 tu.utaelewa nnachokwambia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe utaelewa kuwa this is 2020 not 2001.unasoma saikologia mwaka wa ngapi huu kijana wangu!!!!
bado siku 1 tu.utaelewa nnachokwambia.
Kabende Msakila, hawa MaCCM na Polisi wao usiwaamini sana! Hili tukio linaweza kutengenezwa ili kuwachafua ACT Wazalendo. Haiingii akilini wananchi kuanza kuwarushia Polisi kiaina hiyo yaani wananchi wasingeweza kuanza kuwarushia mawe Polisi bila kuchokozwa kama tukio hilo lilivyoonyeshwa.Toooba!!
Heko police kwa kutumia busara - msakila nisingekubali
Zanzibar wakikinukisha itakuwa funzo kubwa kwa Tanganyika lazima mtukufu Mkoloni kaburu mweusi adate
Sawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.
Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.
Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Kutaka na kuhitaji ni vitu viwili tofauti... Yes wanapaswa kushirikishwa lakini si kila wanachotaka wapewe...Ulimwengu wa Sasa umebadilika ili uongoshe watu vyema ni lzm ufanye uongozi shirikishi kwa kuwasikiliza wananchi wanataka nn
Uvurugwe mara ngapi?Tunakoelekea sio kuzuri hata kidogo na ole wao sasa wavuruge uchaguzi kwani hii ni dalili ya watu kuishiwa uvumilivu.
CC:Jiwe
Nani kaomba "bastola" hapo?Kutaka na kuhitaji ni vitu viwili tofauti... Yes wanapaswa kushirikishwa lakini si kila wanachotaka wapewe...
If you had kids, wakikuomba bastola wakachezee utawapa!? In the spirit of democracy, ukiwanyima kwa kuhofia usalama wao...utakuwa umekosea au umefanya vyema!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Jeshi lomeapa kulinda nchi na raia. Na raia wanahaki zao kwa mujibu wa katiba tuliojiwekea na sheria zetu. Inakuaje Majeshi haya yashindwe kutii maamuzi ya wananchi kwa umakini. Kwani kama kuwa na vyama vingi ni danganya toto kwanini msipeleke mswada kupiga vita vyama tuone kama mtaishi kwa furaha ? Kwa mtu mwenye kufikili mandamano ni Sahihi kuleta ujumbe kwa mamlaka.kwanini majeshi yasitimize wajibu kulinda raia? Kwani mamlaka ya kushika nchi hii ni ya Kikundi cha watu tu fulani? Ebu fikilieni nchi sio matumbo yenu tendeni haki ili Taifa liinuke!!Mrusha mawe ukidakwa unashambulia vyombo vya ulinzi na usalama hiyo ni kesi ya ugaidi utaozea ndani shauri yako
Kutaka na kuhitaji ni vitu viwili tofauti... Yes wanapaswa kushirikishwa lakini si kila wanachotaka wapewe...
If you had kids, wakikuomba bastola wakachezee utawapa!? In the spirit of democracy, ukiwanyima kwa kuhofia usalama wao...utakuwa umekosea au umefanya vyema!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwao ni sahihi kupigwa? Hili trela Hakuna Cha kumuachia Mungu this time, uzuri Askari mnaowategemea hamjawaongezea mishahara 5 yrs nao Wana hasira mbaya Sana nanyi tegemeeni kugeukwa sijui mtategemea nn, hakuna utii kwenye njaa labda wa kwwenye uniform.Raia wanakosea namna hiyo.
Kwanini watu wako negative sana na polisi?! bado hujajiuliza tu hili swali?! Kama mimi niko negative na traffic sembuse wenzangu kuwa negative na polisi?!Mnafurahia raia kurushia polisi mawe. Wakati huohuo mnachukia polisi kupiga raia virungu.
Hii ndio haki inayopiganiwa!
HaswaaaaHiyo ndiyo inayoitwa People's Power
Look yaani wameshindwa kuondoka hata na mtupa Mawe mmoja tu wakamwonyeshe cha mtema kuni? Hapo ilitakiwa waondoke na sampuli moja tu
Polisi wa bara wapelekwe Zanzibar kudhibiti huo uhuni askari hawezi.kimbia RAIA mtupa mawe akashindwa kuondoka nao hata wawili tu wa kuwafungulia kesi ya ugaidi waozee ndani miaka huku wakiwa wametiwa vilema vya maisha
IGP omba maelezo ya kueleweka kama hawakuondoka na gaidi hata mmoja hapo
Hao ni magaidi wakidakwa hiyo ndio kesi yao ni vikosi vya kigaidi vikishambulia vikosi vya serikali.Kusiwe na huruma hata chembe kwenye hilo