Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

Toooba!!
Heko police kwa kutumia busara - msakila nisingekubali
Kabende Msakila, hawa MaCCM na Polisi wao usiwaamini sana! Hili tukio linaweza kutengenezwa ili kuwachafua ACT Wazalendo. Haiingii akilini wananchi kuanza kuwarushia Polisi kiaina hiyo yaani wananchi wasingeweza kuanza kuwarushia mawe Polisi bila kuchokozwa kama tukio hilo lilivyoonyeshwa.
 
Ulimwengu wa Sasa umebadilika ili uongoshe watu vyema ni lzm ufanye uongozi shirikishi kwa kuwasikiliza wananchi wanataka nn
 
Sawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.

Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.

Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.

Askari siku zote ndo chanzo cha vurugu tendeni haki na sio kuumiza watu kwa maslai ya wasiowaongeza mishahara Wala kujali maslai yenu
 
Ulimwengu wa Sasa umebadilika ili uongoshe watu vyema ni lzm ufanye uongozi shirikishi kwa kuwasikiliza wananchi wanataka nn
Kutaka na kuhitaji ni vitu viwili tofauti... Yes wanapaswa kushirikishwa lakini si kila wanachotaka wapewe...

If you had kids, wakikuomba bastola wakachezee utawapa!? In the spirit of democracy, ukiwanyima kwa kuhofia usalama wao...utakuwa umekosea au umefanya vyema!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ccm sikio la kufa mmeambiwa miaka mingi tatueni kero za muungano mkaweka pamba masikioni vizazi vinabadilika hata Nyerere asingekiweza kizazi cha sasa kukiongoza kwa staili ile ya uongozi
 
Kutaka na kuhitaji ni vitu viwili tofauti... Yes wanapaswa kushirikishwa lakini si kila wanachotaka wapewe...

If you had kids, wakikuomba bastola wakachezee utawapa!? In the spirit of democracy, ukiwanyima kwa kuhofia usalama wao...utakuwa umekosea au umefanya vyema!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nani kaomba "bastola" hapo?
 
Mrusha mawe ukidakwa unashambulia vyombo vya ulinzi na usalama hiyo ni kesi ya ugaidi utaozea ndani shauri yako
Jeshi lomeapa kulinda nchi na raia. Na raia wanahaki zao kwa mujibu wa katiba tuliojiwekea na sheria zetu. Inakuaje Majeshi haya yashindwe kutii maamuzi ya wananchi kwa umakini. Kwani kama kuwa na vyama vingi ni danganya toto kwanini msipeleke mswada kupiga vita vyama tuone kama mtaishi kwa furaha ? Kwa mtu mwenye kufikili mandamano ni Sahihi kuleta ujumbe kwa mamlaka.kwanini majeshi yasitimize wajibu kulinda raia? Kwani mamlaka ya kushika nchi hii ni ya Kikundi cha watu tu fulani? Ebu fikilieni nchi sio matumbo yenu tendeni haki ili Taifa liinuke!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kutaka na kuhitaji ni vitu viwili tofauti... Yes wanapaswa kushirikishwa lakini si kila wanachotaka wapewe...

If you had kids, wakikuomba bastola wakachezee utawapa!? In the spirit of democracy, ukiwanyima kwa kuhofia usalama wao...utakuwa umekosea au umefanya vyema!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Usitoe mifano ya watoto.kama huna na ijulikane huna lkn sio haki zao hazipo ila za kukufurahisha au kuwekeza kwenye miradi ili upate sifa zipo hapa lzm msuguano utokee.Serikali za kisasa zote zinasikiliza watu thus huwezi sikia mikwaruzano Kati ya watawala na watawaliwa
 
Raia wanakosea namna hiyo.
Kwao ni sahihi kupigwa? Hili trela Hakuna Cha kumuachia Mungu this time, uzuri Askari mnaowategemea hamjawaongezea mishahara 5 yrs nao Wana hasira mbaya Sana nanyi tegemeeni kugeukwa sijui mtategemea nn, hakuna utii kwenye njaa labda wa kwwenye uniform.
 
Mnafurahia raia kurushia polisi mawe. Wakati huohuo mnachukia polisi kupiga raia virungu.
Hii ndio haki inayopiganiwa!
Kwanini watu wako negative sana na polisi?! bado hujajiuliza tu hili swali?! Kama mimi niko negative na traffic sembuse wenzangu kuwa negative na polisi?!
 
Look yaani wameshindwa kuondoka hata na mtupa Mawe mmoja tu wakamwonyeshe cha mtema kuni? Hapo ilitakiwa waondoke na sampuli moja tu

Polisi wa bara wapelekwe Zanzibar kudhibiti huo uhuni askari hawezi.kimbia RAIA mtupa mawe akashindwa kuondoka nao hata wawili tu wa kuwafungulia kesi ya ugaidi waozee ndani miaka huku wakiwa wametiwa vilema vya maisha

IGP omba maelezo ya kueleweka kama hawakuondoka na gaidi hata mmoja hapo

Hao ni magaidi wakidakwa hiyo ndio kesi yao ni vikosi vya kigaidi vikishambulia vikosi vya serikali.Kusiwe na huruma hata chembe kwenye hilo

Zanzibar wameshawahi kuua askari mara kadhaa, na wale hawapo kama sie huku bara, hawana unafiki.

Unafikiri maaskari hawajipendi? Ungejaribu kufuatilia chanzo cha hao maaskari kurushiwa mawe badala ya kutoa vitisho.

Kule yamepelekwa majeshi, vifaru, silaha nzito na migari ya vita tena vinapitishwa barabarani mchana kuleta hofu kwa wananchi...mtavuna mlichokipanda.
 
Back
Top Bottom