Rudini tena muone! Mbona mlikimbia? Na tuliwaandalia vichupa vya petroli kabisa.Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudini tena muone! Mbona mlikimbia? Na tuliwaandalia vichupa vya petroli kabisa.Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Sasa mkuu povu lote hilo la nini? Si uchaguzi huru na wa haki ufanyike ili mshindi halali atangazwe?Nyinyi Ni wajinga wachache ndani ya Africa hii na dunia kiujumla,mpuuzi Sana wewe.
Kuna udhalimu gani gadafi amefanya zaid ya vibaraka Kama nyinyi kupandikizwa na Kisha kusapotiwa kuharibu nchi ya Libya ilikua na Kila neema.
Haya Leo huyo gadaf hayupo,vp hao kina mama,wazee,watoto na wanachi wanavyopata tabu ndani ya nchi yao kwa kutiwa ulemavu na Vita ya wenyewe kwa wenyewe.Walowatuma hawana habar wanauza silaha na kunyonya mafuta watakavyo.
Majinga Kama nyinyi yanaendelea kuishi Africa,mjinga kabisa Tena mpumbavu wewe
IGP Sirro ameapa kuwauwa kwa risasi na wenyewe wameapa kuwa hawamtaki kiongozi wa ccm! Sasa KIUMANE Ukishakuwa na urafiki na Rwanda au Burundi lazima uuwe watu wako kwa risasi!Kuelekea uchaguzi mkuu tarehe 27 na 28 Zanzibar. Askari wa Usalama washambuliwa kwa mawe
View attachment 1612185
WhatsAPP haizimiki!Kuna hatari mitandao kuzimwa ili kuficha mauaji makubwa na kutisha kuanzia wakati wowote.
kama kaapa kuuwa kwa risasi ajitayarishe kupelekwa ICJ inamsubiri. Hatutaki muungano simple. aende zake khanithi huyoIGP Sirro ameapa kuwauwa kwa risasi na wenyewe wameapa kuwa hawamtaki kiongozi wa ccm! Sasa KIUMANE Ukishakuwa na urafiki na Rwanda au Burundi lazima uuwe watu wako kwa risasi!
Mnafurahia raia kurushia polisi mawe. Wakati huohuo mnachukia polisi kupiga raia virungu.
Hii ndio haki inayopiganiwa!
Lissu ba vibaraka wake wasifikiri kuchukua ncho nirahisi hivyo. Ushinde uchaguzi kwa sera ya bata na ushoga. Nchi yenyewe Tanzania wamejidanganya kweli.
Mshaiba iba kwa kudanganya watu kununua midege na kujenga viwanja vya ndege bila kuonyesha mumetumia kiasi gani halafu muachiwe muendelee kuiba na kupora mashamba ya watu
IMEKULA KWENU MARA HII TUTAKUFA NA NYINYI
Ungejua jeshi ni kazi ambayo aliye nayo anaitegemea na kimsingi hao wajinga wanaweka kazi za watu matatani. Haina tofauti na wewe unavyolipwa kuandika hapa. Tumbo linakufanya uandike hivi ululivyo andika hamnanamna.