Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

HII NI TSUNAMI:

Msikilize na Membe kwenye hii video, scroll mpaka 1:23:08 kwenye hii video hapa chini umsikilize jinsi alivyowapagawisha Wazanzibari

 
Uko sahihi 100%
Kuna mipango chini ya carpet
 
Viongozi wenu hawataki kugawa Ruzuku tatizo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wala hawana shida na nchi
 
Acheni ubanafsi hivi nyie mnajiona keki eti eh! Kwamba Nyinyi ndio mna haki ya kuwa wapinzani, hii ndio Demokrasia kila mtu ashinde mechi zake!
Unatoa povu bure hujui hata viongozi wa upinzsni wamekubaliana je tulia kunywa maji usije aibika
 
Hiyo ndio kauli ya kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe kwenye mapokezi ya viongozi wa ACT wazalendo huko visiwani Zanzibar.

Amesema wazanzibar watakuwa na haki ya kulinda ushindi wa kiongozi wao na kwamba Zanzibar itakuwa na amani iwapo tu haki itatendeka.



MY TAKE: matamshi ya Mh Zitto na yale ya Mh Tundu Lissu yanafanana kwa kiasi fulani.
Tutarajie matamko mengi mno kuelekea uchaguzi mkuu lakini tujiulize.

Ni kipimo kipi Cha haki kutendeka kitakachofanya wakubaliane na matokeo iwapo wakishibdwa uchaguzi?
Hivi vitisho dhidi ya amani yetu vinaashiria nini?
 
Wananchi wamethibitisha kiu yao juu ya mabadiliko ya kiutawala. Sijui ni nini kinatokeaga baada ya uchaguzi mkuu, bila shaka mambo yatabadilika kama kawaida.
 
kipimo cha haki ni kumtangaza yule aliyepata kura nyingi kuliko wenziwe. basi. hakuna chengine!
 
Hapo unajidanganya mkuu, inaonekanwa unamchukulia poa sana Maalim Seif
Mtoto huyo wa 1992 hamjui vizuri maalim seif sharif hamad, kwaa taarifa yake baada ya uchaguzi chama mali yake, hapo ndo atajua nguvu ya chama iko wapi kati ya unguja na kigoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…