Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

HII NI TSUNAMI:

Msikilize na Membe kwenye hii video, scroll mpaka 1:23:08 kwenye hii video hapa chini umsikilize jinsi alivyowapagawisha Wazanzibari

Ndugu yangu tusubiri. Muda bado na hata hizo fomu za ugombea hazijarudishwa na zaidi hazijapitishwa. Hata kampeni bado. Bado muda upo. Haraka haraka haina baraka. Wapinzania siyo wajinga na wanajua wanachokifanya.

Tena basi kumbuka: muda mzuri wa kuungana ni baada ya kampeni kuanza na kujua yupi amepitishwa na NEC kugombea nini. Nadhani unajua kabisa hili tawi la CCM linavyoweza kufanya lolote iwapo wataungana mapema na wagombea rasmi kujulikana.
Uko sahihi 100%
Kuna mipango chini ya carpet
 
Ivi jaman kwa mgawanyiko huu kweli tutaiweza ccm kweli??
Wapinzani huwa mnatuangusha sana wananchi au mna ajenda ya makusudi kubuy time ccm akiendelea kutawala?

Bila kuungana nawahakikishia hamtaing'oa ccm, mnatupotezea mda wapiga kula.
tena ni afadhali wkt ule tukiwa na ukawa ulituunganisha na ccm kama alikufa japo tume NEC iliwanusuru lkn kwa hali hii ya sasa mnajua mnapoteza mda tu ccm hamtaiweza.

KUMBUKENI,
UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFI.

KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA.

NDG WAKIGOMBANA CHUKUA JEMBE UKALIME WAKIPATANA CHUKUA KAPU KAVINE, MAANAKE NI HERI TUSHUGULIKE NA MAMBO YETU NYIE NI WASANII TU.

AHYA MTATWAMBIA..
Viongozi wenu hawataki kugawa Ruzuku tatizo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wala hawana shida na nchi
 
Acheni ubanafsi hivi nyie mnajiona keki eti eh! Kwamba Nyinyi ndio mna haki ya kuwa wapinzani, hii ndio Demokrasia kila mtu ashinde mechi zake!
Unatoa povu bure hujui hata viongozi wa upinzsni wamekubaliana je tulia kunywa maji usije aibika
 
Hiyo ndio kauli ya kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe kwenye mapokezi ya viongozi wa ACT wazalendo huko visiwani Zanzibar.

Amesema wazanzibar watakuwa na haki ya kulinda ushindi wa kiongozi wao na kwamba Zanzibar itakuwa na amani iwapo tu haki itatendeka.
Screenshot_20200809-160730.png

IMG_20200809_132332.jpg

MY TAKE: matamshi ya Mh Zitto na yale ya Mh Tundu Lissu yanafanana kwa kiasi fulani.
Tutarajie matamko mengi mno kuelekea uchaguzi mkuu lakini tujiulize.

Ni kipimo kipi Cha haki kutendeka kitakachofanya wakubaliane na matokeo iwapo wakishibdwa uchaguzi?
Hivi vitisho dhidi ya amani yetu vinaashiria nini?
 
Wananchi wamethibitisha kiu yao juu ya mabadiliko ya kiutawala. Sijui ni nini kinatokeaga baada ya uchaguzi mkuu, bila shaka mambo yatabadilika kama kawaida.
 
Hiyo ndio kauli ya kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe kwenye mapokezi ya viongozi wa ACT wazalendo huko visiwani Zanzibar.

Amesema wazanzibar watakuwa na haki ya kulinda ushindi wa kiongozi wao na kwamba Zanzibar itakuwa na amani iwapo tu haki itatendeka.
View attachment 1532201
View attachment 1532209

MY TAKE: matamshi ya Mh Zitto na yale ya Mh Tundu Lissu yanafanana kwa kiasi fulani.
Tutarajie matamko mengi mno kuelekea uchaguzi mkuu lakini tujiulize.

Ni kipimo kipi Cha haki kutendeka kitakachofanya wakubaliane na matokeo iwapo wakishibdwa uchaguzi?
Hivi vitisho dhidi ya amani yetu vinaashiria nini?
kipimo cha haki ni kumtangaza yule aliyepata kura nyingi kuliko wenziwe. basi. hakuna chengine!
 
Hapo unajidanganya mkuu, inaonekanwa unamchukulia poa sana Maalim Seif
Mtoto huyo wa 1992 hamjui vizuri maalim seif sharif hamad, kwaa taarifa yake baada ya uchaguzi chama mali yake, hapo ndo atajua nguvu ya chama iko wapi kati ya unguja na kigoma.
 
Back
Top Bottom