mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
MAALIM TATIZO HUWA ANAUZA MECHI, ATAFUTWE MPINZANI MWINGINE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka kujua kwamba Zanzibar wanajielewa kuliko sisi, angalia idadi ya wanao swap vyama. Kuhama kutoka chama kimoja kwenda kingine, ni wapi wana swap sana vyama kati ya bara na visiwani? Loyalty (utiifu) kwa chama ni mkubwa sana visiwani kuliko bara.Zanzibar hawajieajielew hata kidogo ndo maana hawajawahi kuanzisha chama
Acha kujitoa ufahamu mbwa wwSasahuyo Lissu ni charismatic au uropokaji na huruma ya kupigwa risasi ndo msaada kwake.??
Mbona ccm inapumulia mashine kule chato kila kitu ni mwenyekiti nyie wengine ni walamba tu makalio na kusifia kijinga jingaMtoto huyo wa 1992 hamjui vizuri maalim seif sharif hamad, kwaa taarifa yake baada ya uchaguzi chama mali yake, hapo ndo atajua nguvu ya chama iko wapi kati ya unguja na kigoma.
Huyu atupishe arudi zake rwanda huko.....Lakini kuna mtu hapendi kutoa shikamoo.
Gharika!Kwa taarifa yako afadhali hata huyo kuliko huyo wa kwenu, subiri utaona.
Achana nayo maccm hayana aili kabisaHaya mataga njooni muone si mlisema upinzani umekufa? Ukosa akili kitu kibaya sana ,mlifikiri kuzuia mikutano ya kisiada ndio ujanjaujanja ?Haya sasa faida yake mmeiona.
Shida lisu hataki mtu mwingine agombee urais kuwakilisha umoja zaidi ya yeyeIvi jaman kwa mgawanyiko huu kweli tutaiweza ccm kweli??
Wapinzani huwa mnatuangusha sana wananchi au mna ajenda ya makusudi kubuy time ccm akiendelea kutawala?
Bila kuungana nawahakikishia hamtaing'oa ccm, mnatupotezea mda wapiga kula.
tena ni afadhali wkt ule tukiwa na ukawa ulituunganisha na ccm kama alikufa japo tume NEC iliwanusuru lkn kwa hali hii ya sasa mnajua mnapoteza mda tu ccm hamtaiweza.
KUMBUKENI,
UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFI.
KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA.
NDG WAKIGOMBANA CHUKUA JEMBE UKALIME WAKIPATANA CHUKUA KAPU KAVINE, MAANAKE NI HERI TUSHUGULIKE NA MAMBO YETU NYIE NI WASANII TU.
AHYA MTATWAMBIA..
Lisu hana issue kazi yake kupasema vibaya nyumbani kwa kwake kwa majiraniItabidi Tundu Lisu ampishe Membe awe mgombea urais wa Upinzani!
Sawa sasa uwe mpole tukifanya yetu...... Mbona unapanic?Malofa ni kufokewa tu,.