Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Kuna kitu mnasahau hapa ya kua dola ni yakwao
Hio dola yenyewe ni wahanga wa mateso ya awamu hii, achilia wakubwa zao wanufaika,jaribu kukaa na wadogo ambao Ni watenda kazi usikie wanasaemaje, wananchi ndo tunawangusha, tuanze wao wamalize mchezo hata wao wamechoka uonevu
 
Inavyoonekana, hata CCM leo waliungana na Maalim Seif /ACT-Wzalendo kumpokea! Nadhani kuna hali ya Wazanzibar kuchukizwa na haya yaliyopita miaka mitano!
Tusubiri muda! johnthebaptist
MAPINDUZIII .......DAIMAAAAA

Sasa hapo utajua ni mapinduzi ya kilimo au viwanda. Ila Mapinduzi ni lazima, manayang'au hawawezi kuongoza nchi na kusimamia raslimali zetu huku nyuma wanasukumwa na wahuni
 
Tatizo ni kwamba Maalim Seif amekuwa akitoa hotuba moja kwa zaidi ya miaka 20. Na amekuwa proven right.

Ili Dr Mwinyi kupambana na Maalim naye inabidi atoe ahadi kama za Maalim Seif za kufanya reforms za Muungano. Dr Mwinyi akifanya hivyo atakuwa anakwenda kinyume na Dodoma.

Wazanzibari wanataka usawa kwenye Muungano.
 
Hv awamu hii kuna RAIA yeyote wa Tz atakayenyanyua makalio yake toka nyumbani kwake akaenda kuipigia kura hasa ngazi ya Rais..
Labda under standard seven but kama kama mtu hukukimbia umande at least standard seven unayo kichwani sidhani kama unaweza ukafanya huo Upoyoyo..
 
Sio toka 95 ni toka 84 alifikiri nyerere angempatia nchi.
 
Ivi jaman kwa mgawanyiko huu kweli tutaiweza ccm kweli??
Wapinzani huwa mnatuangusha sana wananchi au mna ajenda ya makusudi kubuy time ccm akiendelea kutawala?

Bila kuungana nawahakikishia hamtaing'oa ccm, mnatupotezea mda wapiga kula...
Shida ya bara ni kwamba wpiga kura hatujielewi kabisa. Yaani bora liende. Zanzibar wanajielewa mno, ndio sababu hata differene ya kura za CCM na CUF miaka hiyo unakuta ni negligible sana.

Ila kwa bara pia naona Magufuli ni mwepesi sana kuliko watangulizi wake, ni unpopular. Nadhani ndio sababu anatumia nguvu nyingi sana kukubalika ikiwemo kufungia media ambazo ziko neutral, kuzuia mikutano halali ya kisiasa, kufungia NGO ambazo hazina mwelekeo anaoutka nk. Huo ndi woga na wepesi ninaoongelea. Hawezi kupamana majukwaani bila kutumia nguvu ya serikali (polisi).
 
Ivi jaman kwa mgawanyiko huu kweli tutaiweza ccm kweli??
Wapinzani huwa mnatuangusha sana wananchi au mna ajenda ya makusudi kubuy time ccm akiendelea kutawala?

Bila kuungana nawahakikishia hamtaing'oa ccm, mnatupotezea mda wapiga kula.
tena ni afadhali wkt ule tukiwa na ukawa ulituunganisha na ccm kama alikufa japo tume NEC iliwanusuru lkn kwa hali hii ya sasa mnajua mnapoteza mda tu ccm hamtaiweza.

KUMBUKENI,
UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFI.

KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA.

NDG WAKIGOMBANA CHUKUA JEMBE UKALIME WAKIPATANA CHUKUA KAPU KAVINE, MAANAKE NI HERI TUSHUGULIKE NA MAMBO YETU NYIE NI WASANII TU.

AHYA MTATWAMBIA..
Upinzani haujapata viongozi wapenda mageuzi, ni wachumia tumbo tu
 
Zanzibar wanajielewa mno, ndio sababu hata differene ya kura za CCM na CUF miaka hiyo unakuta ni negligible sana.
Zanzibar hawajieajielew hata kidogo ndo maana hawajawahi kuanzisha chama
 
Baada ya kuona mapokezi haya ya Maalim Seif Zanzibar na hali ya kisiasa inavyozidi kutaradadi huku bara nimejiuliza jee CCM itakwepaje kuwa chama kikuu cha upinzani hapo Octoba 2020?

 
 
Back
Top Bottom