Ivi jaman kwa mgawanyiko huu kweli tutaiweza ccm kweli??
Wapinzani huwa mnatuangusha sana wananchi au mna ajenda ya makusudi kubuy time ccm akiendelea kutawala?
Bila kuungana nawahakikishia hamtaing'oa ccm, mnatupotezea mda wapiga kula.
tena ni afadhali wkt ule tukiwa na ukawa ulituunganisha na ccm kama alikufa japo tume NEC iliwanusuru lkn kwa hali hii ya sasa mnajua mnapoteza mda tu ccm hamtaiweza.
KUMBUKENI,
UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFI.
KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA.
NDG WAKIGOMBANA CHUKUA JEMBE UKALIME WAKIPATANA CHUKUA KAPU KAVINE, MAANAKE NI HERI TUSHUGULIKE NA MAMBO YETU NYIE NI WASANII TU.
AHYA MTATWAMBIA..