Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Wazanzibari wameongea kwa sauti, na wamesikika. Haki yao kupitia sanduku la kura ni iheshimike. Wazee wote wa kupindua meza wametangulia mbele za haki. Waliiobakia wakileta janja janja, watalitumbukiza taifa ktk mgogoro mkubwa sana.
 
Endelea kuota labda umebarehe juzi.
 
Wazanzibari wameongea kwa sauti, na wamesikika. Haki yao kupitia sanduku la kura ni iheshimike. Wazee wote wa kupindua meza wametangulia mbele za haki. Waliiobakia wakileta janja janja, watalitumbukiza taifa ktk mgogoro mkubwa sana.
Na hiyo ni Unguja ambako fisiemu hujigamba ili kuwatenganisha wazanzibari!!
 
Kwakweli maalim ni kisiki Znz.Huu ni ukweli ulio wazi.HUSEIN MWINYI hamuwezi Maalim.Kwa Znz tukae mkao wa kuliwa mwaka huu.Siioni namna ya kushinda.
Kwani mlishindaje 2015 na 2010? Jeshi lilimteka Jecha mchana kweupe mwaka 2015. Sijui mwaka huu mnakuja na mbinu gani. Nadhani hii ya polisi, walimu, magereza na wafanyakazi wa Tume kupiga kura siku moja kabla ya wengine itawatoa
 
Msimamo wa wastani ni sifa ya ushirikiano wowote na ni nguzo imara ya maridhiano yenye manufaa kwa wote.
Ili nchi iendelee inahitaji nidhamu na hofu ya Mungu.
Kuna funzo la kujifunza kwa Wanasisa wa Tanzania, kuwa siasa ni sayansi ya namna ya kuishi na kuwatumikia watu wote haijalishi wana mapungufu gani.
 
I said it before. Maalim amekuwa akihongwa na kuuza ushindi, mzee Nassoro Moyo amewahi kuliweka wazi hilo. Kwa timu aliyonayo Maalim mwaka huu hana tena nafasi ya kufanya ujinga ule. ACT kwa upande wa Zenji wakae mkao wa kula.
Sasa zitto na membe ndio watamzuia asiuze ushindi ?
 
Kwani mlishindaje 2015 na 2010? Jeshi lilimteka Jecha mchana kweupe mwaka 2015. Sijui mwaka huu mnakuja na mbibu gani. Nadhani hii ya polisi, walimu, magereza na wafanyakazi wa Tume kupiga kura siku moja kabla ya wengine itawatoa
Walimu wana nini special hadi wapige kura a day before ?
 
Kwakweli maalim ni kisiki Znz.Huu ni ukweli ulio wazi.HUSEIN MWINYI hamuwezi Maalim.Kwa Znz tukae mkao wa kuliwa mwaka huu.Siioni namna ya kushinda.
2015 watanzania walipindua meza kote bara na visiwani lakini yaliyotokea sote tunajua.

This time tallying center ya CHADEMA itabidi tukailinde wananchi wenyewe tutaenda kulizunguka jengo la Tallying center hata kama ni mwezi mzima hao policcm wasivamie tena.
 
A
Kwakweli maalim ni kisiki Znz.Huu ni ukweli ulio wazi.HUSEIN MWINYI hamuwezi Maalim.Kwa Znz tukae mkao wa kuliwa mwaka huu.Siioni namna ya kushinda.
Angalau ka kideo ka mafuriko kangenogesha uzi
 
Back
Top Bottom