Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Mimi natamani CHADEMA wawaachie ACT majimbo ya Zanzibar, halafu huku bara waunganishe nguvu na waachiane majimbo kulingana na eneo chama kipi kina nguvu angalau wasiburuzwe ovyo ovyo bungeni. Wakiweza ku-win majority bungeni, ni dhahiri hata rais akiwa JPM watamdhibiti.
 
Zanzibar hawajieajielew hata kidogo ndo maana hawajawahi kuanzisha chama
Ukitaka kujua kwamba Zanzibar wanajielewa kuliko sisi, angalia idadi ya wanao swap vyama. Kuhama kutoka chama kimoja kwenda kingine, ni wapi wana swap sana vyama kati ya bara na visiwani? Loyalty (utiifu) kwa chama ni mkubwa sana visiwani kuliko bara.
 
Haya mataga njooni muone si mlisema upinzani umekufa? Ukosa akili kitu kibaya sana ,mlifikiri kuzuia mikutano ya kisiada ndio ujanjaujanja ?Haya sasa faida yake mmeiona.
 
Mtoto huyo wa 1992 hamjui vizuri maalim seif sharif hamad, kwaa taarifa yake baada ya uchaguzi chama mali yake, hapo ndo atajua nguvu ya chama iko wapi kati ya unguja na kigoma.
Mbona ccm inapumulia mashine kule chato kila kitu ni mwenyekiti nyie wengine ni walamba tu makalio na kusifia kijinga jinga
 
Haya mataga njooni muone si mlisema upinzani umekufa? Ukosa akili kitu kibaya sana ,mlifikiri kuzuia mikutano ya kisiada ndio ujanjaujanja ?Haya sasa faida yake mmeiona.
Achana nayo maccm hayana aili kabisa
 
Tunamsubiri kwa hamu Maalim Seif huku Pemba.
Hapo ndipo mtakapojua kuwa kuna ghalika ya umati wa wana ACT Wazalendo.
 
Shida lisu hataki mtu mwingine agombee urais kuwakilisha umoja zaidi ya yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…