Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

So, Membe na ACT yake wameamua kuendelea na zoezi la kushiriki urais bara? Watu wapo after ruzuku na si vinginevyo
 
Umeanza vizur na umemalizia vizur Lakini umekosea maneno baadhi ya kusema a k a pandikizi la tanganyika kiukweli ujamtendea haki mtajwa hapo juu kama uwongozi (moods) husika unataka haki basi huu uzi ungevutwa na wewe unge pigwa ban ya siku 3
 

Kwa kweli alipo wapo!

Hapo tume zisilete janja janja.

Hatari kubwa!
 
Sasa sijui muundo wa serikali ijayo itakavyoundwa maana bara tunajua ni lissu zenji tunajua ni maalim, kazi ipo na tujiandae kisaikolojia ya serikali ya mseto
Ndio maana wenye akili tunabaki kucheka tu tunaposikia eti ccm itaangushwa!

Hakuna system mbovu na ya kibwege kugawa nchi vipande vipande namna hiyo
 
Kwa nilichokiona Zanzibar leo nazidi kujithibitishia kuwa Maalim huporwa matokeo ya ushindi kila chaguzi

Yaani ameingia ACT juzi tu na mara moja Zanzibar imekuwa ya Zambarau.

Lipumba na CUF yake wamefutika ghafla Zanzibar.
 
Wao wapate wabunge, ila rais awe wa ccm! Kweli wajinga ndio waliwao.
Kwa akili yako ya kukusaidia kuvuka barabara tu, unadhani hata mkurugenzi wa uchaguzi ungekua ni wewe kwa Tanzania hii unadhani lissu atapata kura za kumuwezesha kua rais wa JMT?

Kama tukipiga kura hapa Jf anaweza akashinda kwasababu muna id nyingi. Huko mtaani kwenye mikoa ambayo munaita ni ngome zenu, ccm ina wabunge na madiwani wengi.
 
ACT tunapaswa kuunganisha nguvu na CDM tushinde bila kwa urahisi zaidi, hili ni jambo muhimu kabisa mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…