Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Itabidi Tundu Lisu ampishe Membe awe mgombea urais wa upinzani!
Mkuu zanzibar kuna jumla ya kura 580,000,

Chukulia Membe na ACT yake anapata walau nusu ya izo yaani 290,000 hizo ni sawa na kura za jimbo la segerea tu kwa Lissu.

Ivyo utaona kura za zanzibar ni muhimu lakini hazina impact sana kwenye majumuisho ya kura zote Ki INCHI
 
Kwa nilichokiona Zanzibar leo nazidi kujithibitishia kuwa Maalim huporwa matokeo ya ushindi kila chaguzi

Yaani ameingia ACT juzi tu na mara moja Zanzibar imekuwa ya Zambarau.

Lipumba na CUF yake wamefutika ghafla Zanzibar.

Tena hiyo ni unguja kwenye ngome ya CCM

Angeenda Pemba kwenye Ngome yake ndo balaa lingekuwa kubwa zaidi!
 
Ivi jaman kwa mgawanyiko huu kweli tutaiweza ccm kweli? Wapinzani huwa mnatuangusha sana wananchi au mna ajenda ya makusudi kubuy time ccm akiendelea kutawala?...
Huyo ni CCM analeta fitna zake za kilumumba
 
Kwa akili yako ya kukusaidia kuvuka barabara tu, unadhani hata mkurugenzi wa uchaguzi ungekua ni wewe kwa Tanzania hii unadhani lissu atapata kura za kumuwezesha kua rais wa JMT?????.
Kama tukipiga kura hapa Jf anaweza akashinda kwasababu muna id nyingi.
Huko mtaani kwenye mikoa ambayo munaita ni ngome zenu, ccm ina wabunge na madiwani wengi.

Kuwa rais wa JMT Ni jambo jingine, tunaangalia uaminifu wa tume. Kwa akili yako ya kufulia gagulo la mke wa boss wako, unadhani ni rahisi kuwa na id nyingi hapa jukwaani? Kama ni rahisi fungua ww na wenzako kisha mpige hizo kura.

Hapa unasema huko mikoani kwenye ngome zetu ccm ina wabunge, mbona Tanzania nzima mnasema ni ya ccm na bado wapinzani wana wabunge?
 
Zitto ndani kkabisa ya moyo wake anahasira sana na CDMA, yale matusi, shutuma, kufukuzwa bado anawaza atawashusha vipi na yeye kuwa KUB!

Naona hesabu zake zinaenda sawa! Bara akipata wabunge hata wawili tu na zenji akipata wabunge 20 shughuli imeisha hiyo, Mbowe sio mkuu wa upinzani tena na Mnadhimu mkuu wa bunge atAtoka ACT! Naiona CDMA ileee chali! Uchaguzi huu unaweza kuwa mgumu kwa Chadema tofauti na wengi wanavyo dhani, ni do or die!

Kuna watu baada ya uchaguzi watamshambulia sana Mbowe kwa kupiga hesabu zake vibaya! Imagine bungeni bila Mnyika, Lisu etc! Imeisha hiyo
 
Cdm mumeona mapokezi ya membe na Maalim huko Zanzibar?? Ni hatari sana. Lissu kapata vipokezi kidogo sana akavimba kichwa kua ataingiza watu barabarani. Lissu angepata mapokezi kamaya membe huko zanzibar, ile kauli yake ya ataingiza watu barabarani, ingetulaza na viatu. Lakini tumeona ni porojo.
 
Maalif Seif akielekea Chama kingine Act nayo itajifia huko Zanzibar, Hao ni wafuasi wa Maalim si wanachama wa Act.
 
Zitto ndani kkabisa ya moyo wake anahasira sana na CDMA, yale matusi, shutuma, kufukuzwa bado anawaza atawashusha vipi na yeye kuwa KUB!
Naona hesabu zake zinaenda sawa!
Bara akipata wabunge hata wawili tu na zenji akipata wabunge 20 shughuli imeisha hiyo, Mbowe sio mkuu wa upinzani tena na Mnadhimu mkuu wa bunge atAtoka ACT! Naiona CDMA ileee chali! Uchaguzi huu unaweza kuwa mgumu kwa Chadema tofauti na wengi wanavyo dhani, ni do or die!
Kuna watu baada ya uchaguzi watamshambulia sana Mbowe kwa kupiga hesabu zake vibaya! Imagine bungeni bila Mnyika, Lisu etc! Imeisha hiyo

Aliyekudanganya kuwa CDM inashindana na ACT ni nani? Cdm imeshavuka hatua ya kuwa chama kikuu cha upinzani bali inataka dola. Naona mnataka kutengeneza mazingira ionekane ushindani katika uchaguzi huu ni kati ya CDM na ACT, ila ccm ndio mshindi, shubamiit.
 
Wengine tumeshaliona hilo tangu zamani kua act ndio anaenda kua chama kikuu cha upinzani. Baada ya huu uchaguzi cdm itasambaratika yote.
 
Aliyekudanganya kuwa CDM inashindana na ACT ni nani? Cdm imeshavuka hatua ya kuwa chama kikuu cha upinzani bali inataka dola. Naona mnataka kutengeneza mazingira ionekane ushindani katika uchaguzi huu ni kati ya CDM na ACT, ila ccm ndio mshindi, shubamiit.
Tunza hii comment yako, baada ya uchaguzi ndio utafahamu nani hasa CHADEMA alikuwampinzani wake!
 
FB_IMG_1596966778451.jpg
FB_IMG_1596966766621.jpg
FB_IMG_1596966756960.jpg
FB_IMG_1596966749329.jpg
 
Kuwa rais wa JMT Ni jambo jingine, tunaangalia uaminifu wa tume. Kwa akili yako ya kufulia gagulo la mke wa boss wako, unadhani ni rahisi kuwa na id nyingi hapa jukwaani? Kama ni rahisi fungua ww na wenzako kisha mpige hizo kura.

Hapa unasema huko mikoani kwenye ngome zetu ccm ina wabunge, mbona Tanzania nzima mnasema ni ya ccm na bado wapinzani wana wabunge?
Hayo mengine ni maneno ya kisiasa lakini ukweli ni huo niliokueleza nenda kawaambie na wenzako.
Ninachojua kwenye chumba cha kuhesabia kura kila chama kinakuwa na wawakilishi wake na hata ninyi cdm munakua na wawakilishi wenu. Mkishindwa mkuu kubalini na sisi tukishindwa tutakubali. Lakini naogopa mwaka huu mkishindwa act wazalendo wanaweza kua mbuyu huko bungeni na ninyi mkarudi kua mchicha.
 
Cdm mumeona mapokezi ya membe na Maalim huko Zanzibar?? Ni hatari sana. Lissu kapata vipokezi kidogo sana akavimba kichwa kua ataingiza watu barabarani. Lissu angepata mapokezi kamaya membe huko zanzibar, ile kauli yake ya ataingiza watu barabarani, ingetulaza na viatu. Lakini tumeona ni porojo.

Wapiga kura wote wa Zanzibar ni sawa na wa jimbo la ubungo, na ACT huko ndio sehemu kwenye nguvu yao, hakuna tatizo kwa hilo, na wamefanya vizuri sana kuanzia huko. Ila naona sasa hivi ccm mmekata pumzi. Mkiona watu wengi mnasema kura zinatolewa kwa sera, mkiona watu wachache mnasema hakuna watu wa kuingia mtaani. Bila tume huru tutaenda ambako box la kura litaheshimiwa tu.
 
Back
Top Bottom