Hivi ndivyo hali ilivyo kwasasa huko Zanzibar, wananchi walio jitokeza kwenye mapokezi ya viongozi wa ACT wazalendo visiwani humo.
MAALIM SEIF mgombea urais Zanzibar na BERNARD MEMBE mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania wanao wasili leo visiwani Zanzibar.
Picha hizi ni kutoka bandarini ambapo wazanzibar wamejitokeza kwaajili ya mapokezi ya viongozi hao.
Swali: Je, nini kipo nyuma ya kiu kubwa ya madaraka aliyo nayo MAALIM SEIF? Kugombea zaidi ya Mara tano bila mafanikio si sababu sahihi ya kuwaachia wengine?