Heligoland treaty kila Mtanzania kasoma historia shule ya msingi...
Ajabu watu wanajitoa ufaham
 
Na huu mkata wa Heligoland si ndo uliweka Kona ili kuondoa mlima Kenya na kuurudisha Tanzania? Hicho ki-kona kati ya bahari ya Hindi na ziwa Victoria ndo kiliwachinja Wakenya
 
Kama hili lina ukweli huenda likawa kivutio cha utalii..
Hili ni kweli, ardhi hiyo ipo na inajulikana kwa jina la RAZABA (sijui kirefu chake). Nimefika, nimeliona eneo na ninalifahamu.

Watu kibao huwa wanapigwa hela zao na madalali feki kwa kuuziwa mashamba maeneo hayo halafu wakigusa tu kufanya chochote wanakutana na mkono wa sheria.
 
Msemaji wa Serikali ya Zanzibari, Charles Hillary amesema Shamba la Zaba lililoko Makurunge wilayani Bagamoyo ni mali ya Serikali ya Zanzibar hakuna mtu anayeruhusiwa kufanya shughuli yoyote eneo hilo.

Msemaji amesema Zanzibar imemiliki eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 6000 tangu mwaka 1977. Na amesema yoyete atakayeuziwa eneo katika ardhi hiyo hatalipwa fidia.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…