Huku kila uchwao watu wanatapeliwa. Kuna wenyeviti feki ,madalali feki na madiwani feki. Ukienda kichwa kichwa unapigwa vizuri tu.Halafu huko Makurunge ya Bagamoyo (sio Kiluvya), kuna raia wanauziana viwanja kama hawana akili nzuri...
Huenda kuna wajanja wanalijua hili, wanaingiza watu mkenge huko...