Halafu huko Makurunge ya Bagamoyo (sio Kiluvya), kuna raia wanauziana viwanja kama hawana akili nzuri...

Huenda kuna wajanja wanalijua hili, wanaingiza watu mkenge huko...
Huku kila uchwao watu wanatapeliwa. Kuna wenyeviti feki ,madalali feki na madiwani feki. Ukienda kichwa kichwa unapigwa vizuri tu.
 
Kwani muuzaji wa Hekari 1700 anaweza kuwa nani? Mwenyekiti wa Kijiji au?

Ndio kusema jmt ni kivuli cha smz sasa hivi?
 
😀
 
Hata hiyo tatu hatuna manufaa nayo tuachane na huu muungano wa kikupe kila mmoja abaki kwake.

Huo mkoa unaiendesha sana Bara kwa ujinga so called muungano ukichukulia huo muungano hauna favour yoyote kwa mtu wa Bara.
Kwa jicho la tatu ni bora serikali tatu
 
Duuh🙄
Ukifuga pimbi anaota mkia.
Ukute wanatikisa tu kiberiti halafu wanasikilizia!!!
Dawa ni kugeuza Zenji iwe wilaya mojawapo ya mkoa wa Pwani
 
Lea sheria zetu Kama eneo hilo hawaja liendeleza tangu mwaka 1977 wana pata wapi nguvu ya kuendelea kusema lao?

Wanalo liita shamba ina wezekana Hawaja Wahi kulima ata mpunga au mahindi... Kama kuna mikorosho usikute imejiotea

Wakiulizwa watu au wazee walio ishi hapo miaka na miaka wana weza kusema neno juu ya uhalisia wa eneo husika
 
Na kwanini iwe sasa? Tangu mwaka 1977 katiba ina anzishwa sijui na tunapata sheria za ardhi zote mbili mwaka 1990s Kama sijakosea

Wanunue maeneo mengine hapo kama watu wame vamia au kuuziwa an una weza kuta na viwanja na hati zimetoka pia
 
Makato yako Chale!!
 
Nchi gani ya serikali tatu ndio maana wazungu wanatuona nyani kwa akili hizi, muungano gani huu .

Raisi angekuwa mmoja wa jamuhuri ya muungano zenji ikagawanywa mikoa ya tanzania uko wakawekwa wakuu wa mikoa alikadhalika kama ilivyo uku.
Serikali ya marekani majimbo yaliyo ungana kutengeneza nchi

Na kila jimbo lina sheria zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…