ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ukiwa mpumbavu jitahidi kuficha upumbavu wako.Tanganyika shule ya ghorofa hairuhusiwi?
Zanzibar imepata wapi pesa zote hizi sahivi? Hasa baada ya Samia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Huyu haoni hata aibu, tukimchagua tena 2025 hiyo miaka 5 Tanganyika kuna kitakachokuwa kimebaki?
Watanganyika tuamke
Tuko kwenye ukoloni wa Zanzibar, tutafute uhuru kwa mara ya pili. Tanganyika hali ya miundo mbinu ni mbaya sana, shule za sekondari huku hata plasta hazijapigwa unajenga maghorofa upande wa Zanzibar huoni ht aibu na huruma? Barabara ukienda mikoa kama Manyara, Simiyu, Singida ni mbaya sana. Mswahili ni mswahili tu hata haya haoni.
Atuachie nchi yetu, huu muungano hauna faida, ni kainchi km wilaya kuionyonya nchi kubwa, Kweli Tanganyika ni kubwa jinga.
Huu muungano upo kumfurahisha nani? Wazanzibari wenyewe hawautaki, Waziri mkuu ni wa Jamhuri ya muungano lakini wazanzibari hawamwelewi na hawamheshimu, tunataka kumfurahisha nani?.
Abeid Amani alikubali muungano ili kuilinda Zanzibar, kulinda mapinduzi maana Sultani angerudi na kuwamaliza hao midubwedo.
Zanzibar ni ndogo Kwa Ardhi hakuna sehemu watajenga majengo ya chini.
Pili Zanzibar imeimarika sana kiuchumi awamu hii ya Mwinyi na Mama kuanzia Mapato Hadi Utalii.
Mwisho nikuoneshe shule za gorofa za Serikali zilizojengwa ujione ulivyo lodi lofa?