Zanzibar imepata wapi hela zote hizi ndani ya miaka 3? tangia Samia awe Rais wa Muungano skuli za ghorofa mpaka Kojani

Kama mliweza kutumia mabilioni kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa ambao sasa unafugia mbuzi Chato, kuna ubaya gani yeye akijenga shule na hospital za ghorofa?
 
Ukiambiwa ni hela za UVIKO usibishe maana hata tanganyika ilipata mgao huo
 
Tanganyika shule ya ghorofa hairuhusiwi?

Zanzibar imepata wapi pesa zote hizi sahivi? Hasa baada ya Samia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Huyu haoni hata aibu, tukimchagua tena 2025 hiyo miaka 5 Tanganyika kuna kitakachokuwa kimebaki?

Watanganyika tuamke

Tuko kwenye ukoloni wa Zanzibar, tutafute uhuru kwa mara ya pili. Tanganyika hali ya miundo mbinu ni mbaya sana, shule za sekondari huku hata plasta hazijapigwa unajenga maghorofa upande wa Zanzibar huoni ht aibu na huruma? Barabara ukienda mikoa kama Manyara, Simiyu, Singida ni mbaya sana. Mswahili ni mswahili tu hata haya haoni.

Atuachie nchi yetu, huu muungano hauna faida, ni kainchi km wilaya kuionyonya nchi kubwa, Kweli Tanganyika ni kubwa jinga.

Huu muungano upo kumfurahisha nani? Wazanzibari wenyewe hawautaki, Waziri mkuu ni wa Jamhuri ya muungano lakini wazanzibari hawamwelewi na hawamheshimu, tunataka kumfurahisha nani?.

Abeid Amani alikubali muungano ili kuilinda Zanzibar, kulinda mapinduzi maana Sultani angerudi na kuwamaliza hao midubwedo.
We unashangaa hayo tu !! Walifutiwa deni la Tanesco lililo karibu na tri 1 ,sekta ya afya matibabu + madawa mpaka ngazi ya ops ni bure kabisa ...njoo Tanganyika ujionee hali ilivyo !!!, HAKUNA USAWA KATIKA HUU MUUNGANO ...nowadays hakuna mzanzibari hata mmoja anaedai kero za muungano kwakuwa zanzibar inapelekewa maendeleo kwa bajeti ya serikali mbili .
 
Hela Zinazotumika Zanzibar kujenga mashule na miundombinu mengine ni Hela za COVID 19 ,sio Hela za Muungano.
Upo sahihi sana, pia ukodishaji wa visiwa vyake, umekwenda kuipatia znz mabilioni ya dollar / UBUNIFU WA MATUMIZI YA RASILIMALI ZA ZANZIBAR, UMEIPAISHA KWA HALI YA JUU.
 
Kukopa wanakopa wakojani..kulipa wanalipa wasukuma ..upuuzi upuuzi
Hamna cha hela ya covd wala nn
Zenj inakuwa kwa kasi kuliko bongo..why
 
"Zanzibar ni ya wazanzibari , Tanganyika ni ya wote "

~simkumbuki aliyeongea hii kauli ~
 
Tanganyika shule ya ghorofa hairuhusiwi?

Zanzibar imepata wapi pesa zote hizi sahivi? Hasa baada ya Samia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Huyu haoni hata aibu, tukimchagua tena 2025 hiyo miaka 5 Tanganyika kuna kitakachokuwa kimebaki?

Watanganyika tuamke

Tuko kwenye ukoloni wa Zanzibar, tutafute uhuru kwa mara ya pili. Tanganyika hali ya miundo mbinu ni mbaya sana, shule za sekondari huku hata plasta hazijapigwa unajenga maghorofa upande wa Zanzibar huoni ht aibu na huruma? Barabara ukienda mikoa kama Manyara, Simiyu, Singida ni mbaya sana. Mswahili ni mswahili tu hata haya haoni.

Atuachie nchi yetu, huu muungano hauna faida, ni kainchi km wilaya kuionyonya nchi kubwa, Kweli Tanganyika ni kubwa jinga.

Huu muungano upo kumfurahisha nani? Wazanzibari wenyewe hawautaki, Waziri mkuu ni wa Jamhuri ya muungano lakini wazanzibari hawamwelewi na hawamheshimu, tunataka kumfurahisha nani?.

Abeid Amani alikubali muungano ili kuilinda Zanzibar, kulinda mapinduzi maana Sultani angerudi na kuwamaliza hao midubwedo.
Ni mkopo : wamekopa kwa ajili ya maboresho ya elimu
 
Matumizi mazuri ya pesa kuliko kuweka tumboni yaani kwa matumizi binafsi
 
Ni wa hovyo maana mwanzo ilikuwa ni kwa ajili ya appreciation lakini kwa sasa imekuwa kisiasa tuu yani kuna siku tutakuta choicevariable government bank
Hata Sasa ni appreciation,kinachosukuma chuki kwako ni kina sa 💯 🤣🤣
 
Nyie Tanzania bara mmekalia wizi wa ufisadi tu. Ukitokea mradi mnaanza kukaa vikao hapa tunakulaje.

Wenzenu zikija fedha za miradi zote zinafanya mrsdi husika na ndo mana mnaona wenzenu saivi ni magholofa tu. Si shule za kawaida, si makazi ya wananchi.

Nyie endeleeni na ufisadi tu na mark this comment. In 15 years tutaenda kujifunza Zanzibar kwa namna walivyoendelea kama tunavyoenda kujifunza Singapore na Korea Kusini.
Labda shule zizae matunda ya kuwaondolea wananchi ujinga, ila kusema kwamba Zanzibar itaendelea kwa kujengewa magorofa ni kujidanganya.
 
Tanganyika shule ya ghorofa hairuhusiwi?

Zanzibar imepata wapi pesa zote hizi sahivi? Hasa baada ya Samia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Huyu haoni hata aibu, tukimchagua tena 2025 hiyo miaka 5 Tanganyika kuna kitakachokuwa kimebaki?

Watanganyika tuamke

Tuko kwenye ukoloni wa Zanzibar, tutafute uhuru kwa mara ya pili. Tanganyika hali ya miundo mbinu ni mbaya sana, shule za sekondari huku hata plasta hazijapigwa unajenga maghorofa upande wa Zanzibar huoni ht aibu na huruma? Barabara ukienda mikoa kama Manyara, Simiyu, Singida ni mbaya sana. Mswahili ni mswahili tu hata haya haoni.

Atuachie nchi yetu, huu muungano hauna faida, ni kainchi km wilaya kuionyonya nchi kubwa, Kweli Tanganyika ni kubwa jinga.

Huu muungano upo kumfurahisha nani? Wazanzibari wenyewe hawautaki, Waziri mkuu ni wa Jamhuri ya muungano lakini wazanzibari hawamwelewi na hawamheshimu, tunataka kumfurahisha nani?.

Abeid Amani alikubali muungano ili kuilinda Zanzibar, kulinda mapinduzi maana Sultani angerudi na kuwamaliza hao midubwedo.
Mawazo ya KIPUMBAVU kabisa haya. Tunatafuta viongozi wa kutupa maendeleo na siyo viongozi wa kuturudisha nyuma.

Kwa hiyo ulitaka ZNZ iendele kubaki kama ilivyokuwa wakati wa Abeid Karume??

Watanzania hamjui mnachotaka. Wewe subiri kufa tu
 
Ukitawaliwa na roho mbaya siku zako za kuishi zitakua chache sana.
Mpuuzi huyo mleta mada anaongozwa na roho ya ubaguzi.

Zanzibar ina watu milioni mbili ambao ni sawa na idadi nzima ya wilaya ya Kinondoni peke yake hatujaongelea Ilala na Temeke.
 
Mawazo ya KIPUMBAVU kabisa haya. Tunatafuta viongozi wa kutupa maendeleo na siyo viongozi wa kuturudisha nyuma.

Kwa hiyo ulitaka ZNZ iendele kubaki kama ilivyokuwa wakati wa Abeid Karume??

Watanzania hamjui mnachotaka. Wewe subiri kufa tu
Limbukeni huyo hajui hata anaongea kitu gani.
 
Nyie Tanzania bara mmekalia wizi wa ufisadi tu. Ukitokea mradi mnaanza kukaa vikao hapa tunakulaje.

Wenzenu zikija fedha za miradi zote zinafanya mrsdi husika na ndo mana mnaona wenzenu saivi ni magholofa tu. Si shule za kawaida, si makazi ya wananchi.

Nyie endeleeni na ufisadi tu na mark this comment. In 15 years tutaenda kujifunza Zanzibar kwa namna walivyoendelea kama tunavyoenda kujifunza Singapore na Korea Kusini.
Bajeti ya Zanzibar ni ndogo sana sawa na bajeti ya Rwanda, hiyo ni sawa na mikoa ukiitazama kijiografia.

Rahisi saha kupiga hatua ikipata kiongozi makini tofauti na Bara ambayo ni nchi kubwa.
 
..Wazanzibari wanafisadi mali za Tanganyika tu.

..kwao hakuna kitu cha kuiba wala kufisadi.

..nchi inaagiza mpaka mchanga toka Tanganyika.
Rais alipokuwa hayati JPM tuliishambulia sana Chato na wasukuma leo mwanamama kutoka kizimkazi anaongoza TZ tunashambulia Zanzibar.

Tufanye kazi fitina za kipuuzi hazitufikishi popote
 
Back
Top Bottom