Zanzibar imepata wapi hela zote hizi ndani ya miaka 3? tangia Samia awe Rais wa Muungano skuli za ghorofa mpaka Kojani

Tanganyika shule ya ghorofa hairuhusiwi?

Zanzibar imepata wapi pesa zote hizi sahivi? Hasa baada ya Samia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Huyu haoni hata aibu, tukimchagua tena 2025 hiyo miaka 5 Tanganyika kuna kitakachokuwa kimebaki?

Watanganyika tuamke

Tuko kwenye ukoloni wa Zanzibar, tutafute uhuru kwa mara ya pili. Tanganyika hali ya miundo mbinu ni mbaya sana, shule za sekondari huku hata plasta hazijapigwa unajenga maghorofa upande wa Zanzibar huoni ht aibu na huruma? Barabara ukienda mikoa kama Manyara, Simiyu, Singida ni mbaya sana. Mswahili ni mswahili tu hata haya haoni.

Atuachie nchi yetu, huu muungano hauna faida, ni kainchi km wilaya kuionyonya nchi kubwa, Kweli Tanganyika ni kubwa jinga.

Huu muungano upo kumfurahisha nani? Wazanzibari wenyewe hawautaki, Waziri mkuu ni wa Jamhuri ya muungano lakini wazanzibari hawamwelewi na hawamheshimu, tunataka kumfurahisha nani?.

Abeid Amani alikubali muungano ili kuilinda Zanzibar, kulinda mapinduzi maana Sultani angerudi na kuwamaliza hao midubwedo.
Wacha wafaidi..
It's their time.
 
Mama kizimkazi na hapa ipo ,waarabu wa pemba hao...pesa ya Tanganyinga inaenda kujenga ZENJI.
 
Siku zote wajifunzao kuogelea hawajifunzi nchi kavu bali hujifunza ndani ya maji!
P
 
Na bado,mtajua hamjui,kazi iendelee.
Watanganyika hawajawahi wapenda Marais wao wakiwaletea maendeleo ni kuwatukana tu.

Samia amejiongeza,anapeleka maendeleo kule watamshukuru kesho,nyinyi si mlipiga kelele hata daraja tu Magu akijenga full maneno,kila akifanyacho kibaya.

Mtakula mlipopeleka mboga.
 
Nyie Tanzania bara mmekalia wizi wa ufisadi tu. Ukitokea mradi mnaanza kukaa vikao hapa tunakulaje.

Wenzenu zikija fedha za miradi zote zinafanya mrsdi husika na ndo mana mnaona wenzenu saivi ni magholofa tu. Si shule za kawaida, si makazi ya wananchi.

Nyie endeleeni na ufisadi tu na mark this comment. In 15 years tutaenda kujifunza Zanzibar kwa namna walivyoendelea kama tunavyoenda kujifunza Singapore na Korea Kusini.
Kwenye huu uzi hii ni comment bora sana. Umepiga kwenye mshono. Tatizo kuu la Tanganyika liko kwenye ubinafsi na ufisadi.

Hata saa hizi Watanganyika wanapomshutumu Mama, wanaoinuka kujibu shutuma hizo na kudeal na wanaomkosoa mama ni WATANGANYIKA WENZAO. Hiyo yote ni kwakuwa hao WATANGANYIKA WENZAO wametanguliza maslahi binafsi badala ya maslahi mapana ya Tanganyika (yote hii inasababishwa na ubinafsi na ufisadi).

Mwisho kabisa. Kuna majengo ya taasisi za Kiserikali yamejengwa mwaka 2023, leo yana nyufa balaa. Huu ujinga huwezi kuukuta Zanzibar. Vichwa bapa wana uchungu na vitu vyao ukilinganisha na sisi huku Tanganyika.
 
Tanganyika imegeuzwa babu jinga mali yake inaliwa tu cha ajabu Watanganyika wenyewe tupo kama mazuzu tu!
 
Tanganyika shule ya ghorofa hairuhusiwi?

Zanzibar imepata wapi pesa zote hizi sahivi? Hasa baada ya Samia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Huyu haoni hata aibu, tukimchagua tena 2025 hiyo miaka 5 Tanganyika kuna kitakachokuwa kimebaki?

Watanganyika tuamke

Tuko kwenye ukoloni wa Zanzibar, tutafute uhuru kwa mara ya pili. Tanganyika hali ya miundo mbinu ni mbaya sana, shule za sekondari huku hata plasta hazijapigwa unajenga maghorofa upande wa Zanzibar huoni ht aibu na huruma? Barabara ukienda mikoa kama Manyara, Simiyu, Singida ni mbaya sana. Mswahili ni mswahili tu hata haya haoni.

Atuachie nchi yetu, huu muungano hauna faida, ni kainchi km wilaya kuionyonya nchi kubwa, Kweli Tanganyika ni kubwa jinga.

Huu muungano upo kumfurahisha nani? Wazanzibari wenyewe hawautaki, Waziri mkuu ni wa Jamhuri ya muungano lakini wazanzibari hawamwelewi na hawamheshimu, tunataka kumfurahisha nani?.

Abeid Amani alikubali muungano ili kuilinda Zanzibar, kulinda mapinduzi maana Sultani angerudi na kuwamaliza hao midubwedo.
Tumepigwa?
 
Katiba yetu na yenyewe ni jau, huwezi kuwa na maRais wote wawili kutoka upande mmoja wa muungano - hapo lazima uwekwe mtu kati.
Katiba ya chakademus is worse
 
..tuliungana kwasababu ya usalama wa Zanzibar.

..Na tishio lilikuwa ni uwezekano wa Sultani kurudi madarakani.

..sasa Sultani ameshafariki.

hivi bado munaamini hadithi kama hizo?
 
Back
Top Bottom