Zanzibar imepata wapi hela zote hizi ndani ya miaka 3? tangia Samia awe Rais wa Muungano skuli za ghorofa mpaka Kojani

Wacha wafaidi..
It's their time.
 

Mama kizimkazi na hapa ipo ,waarabu wa pemba hao...pesa ya Tanganyinga inaenda kujenga ZENJI.
 
Siku zote wajifunzao kuogelea hawajifunzi nchi kavu bali hujifunza ndani ya maji!
P
 
Na bado,mtajua hamjui,kazi iendelee.
Watanganyika hawajawahi wapenda Marais wao wakiwaletea maendeleo ni kuwatukana tu.

Samia amejiongeza,anapeleka maendeleo kule watamshukuru kesho,nyinyi si mlipiga kelele hata daraja tu Magu akijenga full maneno,kila akifanyacho kibaya.

Mtakula mlipopeleka mboga.
 
Kwenye huu uzi hii ni comment bora sana. Umepiga kwenye mshono. Tatizo kuu la Tanganyika liko kwenye ubinafsi na ufisadi.

Hata saa hizi Watanganyika wanapomshutumu Mama, wanaoinuka kujibu shutuma hizo na kudeal na wanaomkosoa mama ni WATANGANYIKA WENZAO. Hiyo yote ni kwakuwa hao WATANGANYIKA WENZAO wametanguliza maslahi binafsi badala ya maslahi mapana ya Tanganyika (yote hii inasababishwa na ubinafsi na ufisadi).

Mwisho kabisa. Kuna majengo ya taasisi za Kiserikali yamejengwa mwaka 2023, leo yana nyufa balaa. Huu ujinga huwezi kuukuta Zanzibar. Vichwa bapa wana uchungu na vitu vyao ukilinganisha na sisi huku Tanganyika.
 
Tanganyika imegeuzwa babu jinga mali yake inaliwa tu cha ajabu Watanganyika wenyewe tupo kama mazuzu tu!
 
Tumepigwa?
 
Katiba yetu na yenyewe ni jau, huwezi kuwa na maRais wote wawili kutoka upande mmoja wa muungano - hapo lazima uwekwe mtu kati.
Katiba ya chakademus is worse
 
..tuliungana kwasababu ya usalama wa Zanzibar.

..Na tishio lilikuwa ni uwezekano wa Sultani kurudi madarakani.

..sasa Sultani ameshafariki.

hivi bado munaamini hadithi kama hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…