Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Feb 1, 2025 Thread starter #21 Azarel said: Tunashukuru kwa matusi yakhee, ila kwa hili la kujali huduma ya afya kwakweli hapo mliweka urojo pembeni mkapiga kazi Huku bara twalia yakhee, watu wanalimbikizia mali tu wakiumwa waenda tibiwa ulaya sheikh Click to expand... Hii tabia ya kujizolea mimali ni tabia ya kishetani
Azarel said: Tunashukuru kwa matusi yakhee, ila kwa hili la kujali huduma ya afya kwakweli hapo mliweka urojo pembeni mkapiga kazi Huku bara twalia yakhee, watu wanalimbikizia mali tu wakiumwa waenda tibiwa ulaya sheikh Click to expand... Hii tabia ya kujizolea mimali ni tabia ya kishetani
zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,075 Reaction score 9,263 Feb 1, 2025 #22 rodrick alexander said: Siyo Zanzibar Wana akili Bali watanganyika ni mazuzu kwa kung'ang'ania muungano usio na faida. Zanzibar wqnakopa pesa kwa huduma za afya deninwanalipa watanganyika,, lazima wajidai Click to expand... Ndo akili zenyewe hizo sasa.
rodrick alexander said: Siyo Zanzibar Wana akili Bali watanganyika ni mazuzu kwa kung'ang'ania muungano usio na faida. Zanzibar wqnakopa pesa kwa huduma za afya deninwanalipa watanganyika,, lazima wajidai Click to expand... Ndo akili zenyewe hizo sasa.