and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua huna akili kabisa.Nimecheka ila sijajua ni sana au kidogo.Maana sijawahi kufanya utafiti wa viwango vya vicheko.Kule wakiwa na baraza maswali yatahusu bwana mtume tu
Mambo ya chemstry yachosha akili amii[emoji16]
Washazoea urojo Sasa uwape Physics au Mathematics unatafuta ugomvi😅😅Kule wakiwa na baraza maswali yatahusu bwana mtume tu
Mambo ya chemstry yachosha akili amii[emoji16]
Wallah wata-aksereleiti haoo!Hujajua tuuuu!Washazoea urojo Sasa uwape Physics au Mathematics unatafuta ugomvi😅😅
Haujaona hapo kwenye elimu ya dini F kama zote?Kule wakiwa na baraza maswali yatahusu bwana mtume tu
Mambo ya chemstry yachosha akili amii[emoji16]
Una chuki na waliokuzidi mafanikiondiyo hao wenye maduka kariakoo na kuajiri wa 1.7 kubeba boksi
nope , namkumbusha mtoa mada akili siyo za darasani tu,Una chuki na waliokuzidi mafanikio
Elimu ipo Bara ,visiwani mapenzi tuKumbe UNGUJA wamefeli sana ndio maana wamegoma kutangaza wa Kwanza hadi WA mwisho
Hujakosea...hata somo la Historia linapigwa vita kisa tu linawavua nguo vipenzi vyao waarabu kwa kufanya biashara ya watumwaKule wakiwa na baraza maswali yatahusu bwana mtume tu
Mambo ya chemstry yachosha akili amii[emoji16]
Alichomaanisha,Una chuki na waliokuzidi mafanikio
Alisikika aliye kimbia shule so wasipo soma madaktari watatoka wapi?Nyie fauluni kwenye mitihani, sisi tunafaulu kwenye maisha
Uyo jamaa anaoppose kusoma Bora alale njaa ila wanae wasome atanishukuru sikuAlichomaanisha,
Kaufu sana darasani
Hakuna mahusiano na kufaulu sana maishani.
Baraza la MaulamaaNi wakati sasa Zanzibar iwe na Baraza Kamili la Mitihani kuliko ulivyo Sasa kukasimu madaraka Kwa NECTA (Bara). Hii itasaidia kuepuka dhuluma hizi za Sasa.