jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Hata mseme nini, tambueni kuwa hakuna Mzanzibar asiyefika chuo. Kaeni na ma division one yenu, wataalam tunatimba chuo cha Madrasa kuongeza ilimu na sharia.
Hili povu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mseme nini, tambueni kuwa hakuna Mzanzibar asiyefika chuo. Kaeni na ma division one yenu, wataalam tunatimba chuo cha Madrasa kuongeza ilimu na sharia.
Mjnga ni wewe hujui mfumo wa maisha wa watu halafu unaleta upumbavu wako hapa.
Mambo ya Kadhi kama huyajui wewe nyamaza tu nyinyi kaeni na makanisa yenu muozeshane na mashoga huko.
Duh!!,Hatari sana.Makazini kuwa na watu wenye uwezo mdogo sababu ni sera zao za ajira. Vipaumbele ni kwa wanaotoka kwenye familia za CCM tena wa Unguja. Kuna Idara rasmi inayoidhinisha nani aajiriwe baada ya vigezo vya kitaaluma kupitisha majina ya wanaoomba kazi. Kitu cha mwanzo kinachoulizwa ni kadi za CCM za muombaji na wazazi wake. Idara inaitwa GSO.
WAKAZI WA VISIWANI WAMETOKA TANGANYIKA, KWANINI ISIWE SEHEMU YAKE?Angefanyaje visiwa viwe sehemu ya tanga haliyakuwa visiwa havikuwa sehemu ya Tanganyika????
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Nibwajinga wanao pambania mafuta. Na hiyo haiondoi ujinga wenu wa kung'an'ana na mambo ya mahakama za kidini ktk dunia zilizo staarabikaKwani nyinyi si munakomaa na mafuta ya upako?
ILE KUSALI KWA MASAA NI UTAMADUNI SIO UTAKATIFU.Wakati wazenji ndo wanaongoza kwa michezo ya kuzibuana mitaro unakuta binti kajitanda ushungi na mibaibui kumbe hana marinda na Sala tano anasali daah so sad
Rudia kusoma post yakoWAKAZI WA VISIWANI WAMETOKA TANGANYIKA, KWANINI ISIWE SEHEMU YAKE?
Dunia iliyostaarabika ni ipi? Au lazima utumie mfumo kristo ndiyo uone watu wamestaarabika?Nibwajinga wanao pambania mafuta. Na hiyo haiondoi ujinga wenu wa kung'an'ana na mambo ya mahakama za kidini ktk dunia zilizo staarabika
kwani huo ukristo wenu asili yake ni Tz, nyinyi si munaletewa tu maelekezo na mabosi wenu wa kutoka ulaya? Hamna amri yo yote juu ya maamuzi ya kubadilisha mambo ya kanisa.Nitajie kanisa hapa tz liliofungisha ndoa ya mashoga?kama sio upuzi umewajaa,ukiona mtu anaongelea ushoga kila pahala ujue anazibuliwa mtaro.
Maisha? Niliwahi kufika zenj, kwa umaskini ule niliouona acha tu. Zenj wenye pesa hata 5% hawafiki. 90% ni maskini sanaNyie fauluni kwenye mitihani, sisi tunafaulu kwenye maisha
Hiyo dini wanafata baadhi ya vitu tu, vingine vingi hawafuati.Deen imejitosheleza; ni complete way of life. Haijabakiza kitu kuhusiana na ulimwengu na jinsi mwanadamu anavopaswa kuishi.
kwani huo ukristo wenu asili yake ni Tz, nyinyi si munaletewa tu maelekezo na mabosi wenu wa kutoka ulaya? Hamna amri yo yote juu ya maamuzi ya kubadilisha mambo ya kanisa.
Hata juzi tu Pope ameanza kujisemesha kuhusu ushoga.
kwani huo ukristo wenu asili yake ni Tz, nyinyi si munaletewa tu maelekezo na mabosi wenu wa kutoka ulaya? Hamna amri yo yote juu ya maamuzi ya kubadilisha mambo ya kanisa.
Hata juzi tu Pope ameanza kujisemesha kuhusu ushoga.
Na sisi tutakuja kuwaingizia vidole wake zenu ni ninyi wenyewe pindi mnapojiungua au kuwapima tezi dume, Pia wengi wenu ni masikini tu kulinganisha na idadi ya matajiri ambao pia huku bara wapo wengi tu huko kwenye madini na kilimo.Nyinyi pateni hizo division one zenu, tunawasubiri kariakoo tuje tuwabebeshe boksi kwa elfu nne kwa siku.
Tofautisha mpemba na muunguja ndugu yangu wao wenyewe haziivi iwe makazini au wapi, wapemba wako vizuri kibiashara ama kimasomo ila waunguja duuuhMi ni mbara, Advanced mathematics enzi hizo nimefundishwa na bwana mmoja anaitwa haruna yahya ni mpemba ana uwezo mkubwa siwezi hata kuulezea, pia ni developer kwa sasa.....nimekutana na developers wana uwezo mkubwa sana pengine Mimi ni robo ya robo ya uwezo wao, wana uwezo mkubwa kuliko unavyofikiria pia ni watu kutoka huko Zanzibar...... Usikalili maisha ndugu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app