Zanzibar inastahili Baraza lao la Mitihani

Hakuna haja kuanzisha baraza lao, Mitaala inayotumika Tanzania Bara na Tanzania visiwani ni ile ile. Kufaulu au kufeli kupo pande zote na hilo linafahamika utofauto ni kiwango tu..

Na inajulikana kila mahali usiposoma lazima ufeli, na ukisoma na kuelewa utafaulu vizuri..Je, Kwa nini wawe na baraza lao?? Necta wanawaonea Zanzibar?? Wakiunda Baraza lao ufaulu utaongezeka?
 
Niko Zanzibar now mwaka na nusu..hawa wazanzibar wanahitaji kazi ya ziada kuwabadilisha.
Wana akili kama wakiwa serious ila like naona elimu sio kipaumbele Chao..wenye uwezo wengi watoto wao wanawasomesha huku bara.
Hata product zao ukikutana nazo kazini unasikitika..sijapata kuona watu wavivu kama wazanzibar.Muda pekee utakapowaona wanakimbizana ni muda wa ibada.
Wavivu
Wanapenda rushwa kupita maelezo
Mwinyi anajitahidi kuwabadilisha ila sidhani kama atafanikiwa ni watu wa hovyo sana
Makazini kuwa na watu wenye uwezo mdogo sababu ni sera zao za ajira. Vipaumbele ni kwa wanaotoka kwenye familia za CCM tena wa Unguja. Kuna Idara rasmi inayoidhinisha nani aajiriwe baada ya vigezo vya kitaaluma kupitisha majina ya wanaoomba kazi. Kitu cha mwanzo kinachoulizwa ni kadi za CCM za muombaji na wazazi wake. Idara inaitwa GSO.
 
Hakuna haja kuanzisha baraza lao, Mitaala inayotumika Tanzania Bara na Tanzania visiwani ni ile ile. Kufaulu au kufeli kupo pande zote na hilo linafahamika utofauto ni kiwango tu..

Na inajulikana kila mahali usiposoma lazima ufeli, na ukisoma na kuelewa utafaulu vizuri..Je, Kwa nini wawe na baraza lao?? Necta wanawaonea Zanzibar?? Wakiunda Baraza lao ufaulu utaongezeka?
NECTA hawaonei. Angalia matokeo ya Lumumba na Fidel Castro.
 
Zanzibar Ni mkoa wa Tanzania. Wakiwa na baraza lao Basi nasisi Iringa tupewe baraza letu.
 
Zanzibar ikiachiwa ijitawale kuna ujinga mwingi utafanyika huko. Soon kakisiwa katageuka kichaka cha wahuni wanaoisumbua dunia kwa mgongo wa. Dini.

Sasa mambo ya kadhi dunia hii ya leo ya nini? Mahakama za kidini na mashauri kuamuliwa kidini ni ujinga
Deen imejitosheleza; ni complete way of life. Haijabakiza kitu kuhusiana na ulimwengu na jinsi mwanadamu anavopaswa kuishi.
 
Hakikisheni pia mnajitegemea Ki-bajeti na sio kudai uhuru ilhali hamna bajeti ya kuendesha mambo.

kisheni
Hivyo kabla ya muungabo bajeti ya matumizi ya Zanzibar mulikuwa munatoa nyinyi bara?
 
Zanzibar ikiachiwa ijitawale kuna ujinga mwingi utafanyika huko. Soon kakisiwa katageuka kichaka cha wahuni wanaoisumbua dunia kwa mgongo wa. Dini.

Sasa mambo ya kadhi dunia hii ya leo ya nini? Mahakama za kidini na mashauri kuamuliwa kidini ni ujinga
Mjnga ni wewe hujui mfumo wa maisha wa watu halafu unaleta upumbavu wako hapa.

Mambo ya Kadhi kama huyajui wewe nyamaza tu nyinyi kaeni na makanisa yenu muozeshane na mashoga huko.
 
Kule wakiwa na baraza maswali yatahusu bwana mtume tu

Bwana we maswalah ya chemstry yachosha akili amii[emoji16]
Mi ni mbara, Advanced mathematics enzi hizo nimefundishwa na bwana mmoja anaitwa haruna yahya ni mpemba ana uwezo mkubwa siwezi hata kuulezea, pia ni developer kwa sasa.....nimekutana na developers wana uwezo mkubwa sana pengine Mimi ni robo ya robo ya uwezo wao, wana uwezo mkubwa kuliko unavyofikiria pia ni watu kutoka huko Zanzibar...... Usikalili maisha ndugu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mjnga ni wewe hujui mfumo wa maisha wa watu halafu unaleta upumbavu wako hapa.

Mambo ya Kadhi kama huyajui wewe nyamaza tu nyinyi kaeni na makanisa yenu muozeshane na mashoga huko.
Walio waletea dini ya kiarabu wenyewe wanajivua gamba siku hizi lakini vijitu vyeusi ndio kwanza vinang'an'ania. Hufuatilii hata vyombo vya habari maandamano huko arabuni wanawake wenzenu wakidai kuondolewa kwenye vifungo kwa mgongo wa dini? We mwanamke wa kiunguja ndio unajua sana hayo maswala?
 
SIJUI KWA NINI JK NYERERE HAKUWA NA WAZO LA KUFANYA HIVI VISIWA KUWA SEHEMU YA TANGA.

VISIWA VINA UTAJIRI MKUBWA WA WATU WALIO:
WAVIVU WA AKILI
WAVIVU WA MWILI
Angefanyaje visiwa viwe sehemu ya tanga haliyakuwa visiwa havikuwa sehemu ya Tanganyika????

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Niko Zanzibar now mwaka na nusu..hawa wazanzibar wanahitaji kazi ya ziada kuwabadilisha.
Wana akili kama wakiwa serious ila like naona elimu sio kipaumbele Chao..wenye uwezo wengi watoto wao wanawasomesha huku bara.
Hata product zao ukikutana nazo kazini unasikitika..sijapata kuona watu wavivu kama wazanzibar.Muda pekee utakapowaona wanakimbizana ni muda wa ibada.
Wavivu
Wanapenda rushwa kupita maelezo
Mwinyi anajitahidi kuwabadilisha ila sidhani kama atafanikiwa ni watu wa hovyo sana
Wavivu wakati baadhi yao wana miliki uchumi mkubwa tu kariakoo hapo?? Kuhusu kazi za serikali wengi wetu huwa ni wavivu tu wala hatujitoi sana kuzifanya isipokuwa kutizima majukumu yetu tu....

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hakuna haja kuanzisha baraza lao, Mitaala inayotumika Tanzania Bara na Tanzania visiwani ni ile ile. Kufaulu au kufeli kupo pande zote na hilo linafahamika utofauto ni kiwango tu..

Na inajulikana kila mahali usiposoma lazima ufeli, na ukisoma na kuelewa utafaulu vizuri..Je, Kwa nini wawe na baraza lao?? Necta wanawaonea Zanzibar?? Wakiunda Baraza lao ufaulu utaongezeka?

Ufaulu is a state of art. kwani hao waliopata Div. 0 Baraza la maulamaa likiamua wawe wamepata Div. II huoni kama watakua wamefaulu??

Ni ndio kwamba wazanzibari hawahitaji Baraza la mitihani for the fact kwamba Elimu ni njia ya kupata ajira na mazingira ya ajira kwa zanzibar na bara ni mamoja so hakuna haja ya kuwa na watu washindani waliotoka kwenye mifumo tofauti ya ILIMU
 
Tazama maksi walizopata kwenye somo lao la dini .

Baraza la maulamaa hili nalo mkalitazame

Naona umetoa Rai pamoja na wito [emoji3][emoji3][emoji4][emoji4][emoji4] acha kuwatwisha mzigo maulamaa
 
Back
Top Bottom