Zanzibar inastahili Baraza lao la Mitihani

Zanzibar inastahili Baraza lao la Mitihani

Ni wakati sasa Zanzibar iwe na Baraza Kamili la Mitihani kuliko ulivyo Sasa kukasimu madaraka Kwa NECTA (Bara). Hii itasaidia kuepuka dhuluma hizi za Sasa.
Naunga mkono. Hawa jamaa ni vilaza sana bora wawe na baraza lao wawe wanapeana maswali urojo unahitaji sukari vijiko vingapi.
 
Aiseee Kama haupo jikoni unaweza sema watoto wanaonewa ila ki ukweli wa zenji wengi wapo busy na Madarasa kuliko shule
 
Hivi Zanzibar wawe na baraza lao mtihani mara ngapi? Si wana BMZ (Baraza la mitihani Zanzibar) au ZEC (Zanzibar examination council). Hata tovuti yake ni bmz.go.tz na matokeo huwa wanaangalizia huko
 
Tofautisha mpemba na muunguja ndugu yangu wao wenyewe haziivi iwe makazini au wapi, wapemba wako vizuri kibiashara ama kimasomo ila waunguja duuuh
Mtizamo wako Ila sio uhalisia..

Kutoelewana Ni siasa zinazopandikizwa tu..na hata huku bara Kuna kutoelewa hii Ni kawaida ..
 
Tofautisha mpemba na muunguja ndugu yangu wao wenyewe haziivi iwe makazini au wapi, wapemba wako vizuri kibiashara ama kimasomo ila waunguja duuuh
Wa-Unguja ndo Hawa tupo nao hapa Ihumwa?
 
Wazanzibari wakiwa na baraza lao la mitihani ndio watazidi kupotea kabisa, waendelee kubaki na NECTA ili waoneshwe udhaifu wao wsijidanganye kuanzisha baraza lao ndio wataharibika zaidi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Write your reply...we malizaga tu kuwa unaomba utengano complt kati ya znzb na tngnyk sawa!
 
Div one ya Zanzibar itakua sawa na iv.28 ya bara, italeta shida kwenye udahili vyuo nk
 
Wakifanya hivyo wajue vyeti vyao vitakuwa kama vya kenya, malawi nk. Dawa ya kufeli kwenu sio kujitenga bali kujitahidi
 
Ni wakati sasa Zanzibar iwe na Baraza Kamili la Mitihani kuliko ulivyo Sasa kukasimu madaraka Kwa NECTA (Bara). Hii itasaidia kuepuka dhuluma hizi za Sasa.
Dhuluma gani labda? Embu weka in details?
 
Back
Top Bottom