Zanzibar inastahili Baraza lao la Mitihani

Zanzibar inastahili Baraza lao la Mitihani

Elimu na urojo wapi na wapi,vichwa vimebondwa vitolee wapi akili
eb3f193a-bbb0-4c10-97d3-47234d334918.jpg
 
Sio dhuluma, wale watu wameathiriwa na imani ya dini wanayoiamini na kuiabudu. Ile dini hufanya ufahamu wao uone kuwa imani hiyo ndiyo inayotawala nyanja zote za maisha yao. Hata wakiwa na baraza lao la mitihani dini hiyo haitawabadili mitazamo kuthamini mifumo ya elimu isiyoegemea dini. Kupata baraza lao la mitihani itakuwa ni muendelezo wa kujitoa kwenye muungano, maana imebaki kidogo wawe na kila kitu chao. Wana serikali kamili inayojitegemea kwa mambo yao nje na mambo ya muungano. Wapatiwe tu hilo baraza watakuwa wanajitoa kwenye muungano kiulaini bila mnyukano wa hoja. Wale wakijitoa kwenye muungano watabadili vitu vingi vyenye sura ya muungano ikiwemo alama ya bendera ya muungano ndani ya bendera yao ambayo tayari walishapata. Wapewe tu maana shule zao zitaendele kuburuza mkia nyuma ya shule za bara
 
Tazama maksi walizopata kwenye somo lao la dini .

Baraza la maulamaa hili nalo mkalitazame
 
Tazama maksi walizopata kwenye somo lao la dini .

Baraza la maulamaa hili nalo mkalitazame
baraza la maulamaa ni kichaka cha kuendeleza ujinga. Ni siasa tu zenye itikadi za kidini, kuweka imani za kidini kwenye mambo ya elimu ni sawa na kutia giza kwenye nuru. Wasiingize dini kwenye mambo ya kisayansi
 
Hakikisheni pia mnajitegemea Ki-bajeti na sio kudai uhuru ilhali hamna bajeti ya kuendesha mambo.
Ni wakati sasa Zanzibar iwe na Baraza Kamili la Mitihani kuliko ulivyo Sasa kukasimu madaraka Kwa NECTA (Bara). Hii itasaidia kuepuka dhuluma hizi za Sasa.
kisheni
 
Combination zao ndio balaa, unaweza kumaliza form four Haina tofauti na aliyesoma madrasa. Kiswahili, Islamic na elimu ya dini. Sijui kwenye solo la ajira wanaandaliwa kuwa nani
Ofisi za qadhi zinahitaji watendaji.
 
Niko Zanzibar now mwaka na nusu..hawa wazanzibar wanahitaji kazi ya ziada kuwabadilisha.
Wana akili kama wakiwa serious ila like naona elimu sio kipaumbele Chao..wenye uwezo wengi watoto wao wanawasomesha huku bara.
Hata product zao ukikutana nazo kazini unasikitika..sijapata kuona watu wavivu kama wazanzibar.Muda pekee utakapowaona wanakimbizana ni muda wa ibada.
Wavivu
Wanapenda rushwa kupita maelezo
Mwinyi anajitahidi kuwabadilisha ila sidhani kama atafanikiwa ni watu wa hovyo sana
 
Ni wakati sasa Zanzibar iwe na Baraza Kamili la Mitihani kuliko ulivyo Sasa kukasimu madaraka Kwa NECTA (Bara). Hii itasaidia kuepuka dhuluma hizi za Sasa.
kutokana na Muungano haitafaa
Na ingetokea hivyo, basi mzanzibar akitaka kuja kusoma Bara atatakiwa afanye mtihani mwingine kujiridhisha kuwa anakidhi vigezo kitu ambacho kitaleta usumbufu
 
Hata mseme nini, tambueni kuwa hakuna Mzanzibar asiyefika chuo. Kaeni na ma division one yenu, wataalam tunatimba chuo cha Madrasa kuongeza ilimu na sharia.
 
Back
Top Bottom